Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

Jana Jk alikuwa na Furaha sana baada ya Waziri wake wa Mwisho wa Maliasili na Utalii kurejea Chamani, kashindwa kujizuia hadi wamekumbatiana!
Wakaulizwa hamuogopi corona? Nasikia yeye ndiye aliyemwambia rudi nyumbani tuimbe nyimbo zetu kwa pamoja kwani yule jamaa uliyemkimbia kashaenda zake.
 
Wanasiasa wote wapo after matumbo yao, hulka ambayo kimsingi anayo kila mwanadamu very deep down.

Wote waliohama kutoka CCM kwenda CHADEMA then kurudi CCM wanahangaika hivyo katika kutafuta fursa za kupiga tu
 
Chadema sasa hivi inachukuliwa kama shimo falani la taka.

Unatupwa uchafu huko kisha watu wanakuja kuokota wanaufanyia recycle
 
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.

Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!

Maajabu zaidi ya Mussa ni kuwa, kwa Chadema: "kuondoka kwake ni mithili ya kuvuja kwa pakacha ambayo ni nafuu kwa mchukuzi."

Wajameni, kwanini CCM wanashangilia hivi kuwa huyu bwana kutoka Chadema? Kwanini CCM hawashangilii kuwa kwa kujiunga nao, labda sasa wamepata jembe mahiri la kulimia kweri kweri?

Inashangaza kuwa promo zote anazopewa huyu bwana, ni kuwa katoka Chadema na si kuwa kajiunga na CCM!

Hiiiiii bagosha, pana nini hapa?

Au huyu bwana ana siri gani nzito ambazo CCM walikuwa zimewakisesha usingizi kila walipokumbuka kuwa huyu bwana yuko huko, na sasa ni heri katoka na kuwa sasa japo watapumua kwa nafasi?

Aliwabana nini CCM Nyalandu kuwa Chadema? Mbona hatuoni shamra shamra za kuwa huyu bwana sasa atatufaa na nini CCM?

Au labda tuseme ni mambo ya kumpongeza tu, kwa kuwa alishindwa kuimba zile nyimbo zake za Sayuni alizozizowea alipokuwa huko?

Wajameni, furaha na shamra shamra hizi, sababu zake tafadhali.

Ninawasilisha
Wacheza kamari wana msemo wao Kamanda, husema HEADS I WIN TAILS YOU LOSE. Hii kaka hata uiweke kivipi (ujifurahishe nafsi yako) ni pigo kubwa. Inaonyesha dhahiri chademathink jinsi ilivyo. Wenzenu CCM wamekupeni kachero nambariwani kawasambaratisha ukawa na kuipoteza zanzibar baada ya kuwajulia mbinu za CUF. Huyu ni bonner, always a bonner. Yaani inaonyesha kwamba wote nyie saizi yenu ni Nyalandu kama aliweza kuwahoodwink.
 
Umechomeka vijimaneno vya kiingereza ili uonekane msomi, mbona umejionyeshs ni boya zaidi kuliko ulivyotaka ueleweke?
 
Chadema sasa hivi inachukuliwa kama shimo falani la taka.

Unatupwa uchafu huko kisha watu wanakuja kuokota wanaufanyia recycle
Mbona hizo takataka zote mnazo huko? Mpaka maprofesa wa majalalani wapo huko.
FB_IMG_1581491063368.jpg
 
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.

Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!

Maajabu zaidi ya Mussa ni kuwa, kwa Chadema: "kuondoka kwake ni mithili ya kuvuja kwa pakacha ambayo ni nafuu kwa mchukuzi."

Wajameni, kwanini CCM wanashangilia hivi kuwa huyu bwana kutoka Chadema? Kwanini CCM hawashangilii kuwa kwa kujiunga nao, labda sasa wamepata jembe mahiri la kulimia kweri kweri?

Inashangaza kuwa promo zote anazopewa huyu bwana, ni kuwa katoka Chadema na si kuwa kajiunga na CCM!

Hiiiiii bagosha, pana nini hapa?

Au huyu bwana ana siri gani nzito ambazo CCM walikuwa zimewakisesha usingizi kila walipokumbuka kuwa huyu bwana yuko huko, na sasa ni heri katoka na kuwa sasa japo watapumua kwa nafasi?

Aliwabana nini CCM Nyalandu kuwa Chadema? Mbona hatuoni shamra shamra za kuwa huyu bwana sasa atatufaa na nini CCM?

Au labda tuseme ni mambo ya kumpongeza tu, kwa kuwa alishindwa kuimba zile nyimbo zake za Sayuni alizozizowea alipokuwa huko?

Wajameni, furaha na shamra shamra hizi, sababu zake tafadhali.

Ninawasilisha

mkuu umeumia ila unajikaza

Mbona umeandika the same issue ...si kaondoka chadema kaenda CCM?? unatenganisha vipi furaha ya kutoka kule na kwenda huku?

umejichanganya
 
Nyalandu ndio alikuwa analipa mishahara ya Ufipa!
Kwanza tumeambiwa Nyalandu ndie aliyemhifadhi Lissu Ubelgiji kwenye nyumba yake.
Sasa ndie aliyewalipa mshahara wakina Mnyika.
Itafuata hela zote za dhamana alikuwa anatoa yeye.
Halafu, kampeni yote ya Lissu aliifadhili yeye.
Mwisho, pesa ya kuanzisha chama aliitoa yeye.
Kuweni basi hata na aibu kidogo.

Amandla...
 
Jamaa karudi Ccm baada ya deal yake kukubalika.
Karudishiwa kitalu chake cha uwindaji kule Lake Natron(Grern Miles) /kama condition ya kurudi Ccm.
Mtakumbuka baada ya kuachishwa uwaziri kitalu hiki kilizushiwa mizengwe hadi kufungiwa. Kilikuwa cha jamaa.
 
mkuu umeumia ila unajikaza

Mbona umeandika the same issue ...si kaondoka chadema kaenda CCM?? unatenganisha vipi furaha ya kutoka kule na kwenda huku?

umejichanganya
Unaejichanganya ni wewe. Mwandishi ana maanisha kuwa CCM hawaoni faida yeyote ya wao kuwa na Nyalandu ila wamefurahi kuwa amewapa sababu ya kuwabeza CDM. Ni kama wakina Lijualikali. Wanafurahia tu wanachodhani ni msiba kwa jirani yao.

Kwa CCM chochote ambacho kitawapunguzia umaarufu CDM ni furaha kwao. Hata kama hawafaidiki moja kwa moja.

Amandla....
 
Back
Top Bottom