Kama chama kisicho cha wapiga dili kinakubali kuwapokea wapiga dili na kuwapa nafasi za uongozi ni wazi hapo hicho chama kimekosa tu hizo dili ila zingekuwepo hizo dili nacho kingekuwa chama cha wapiga dili pia. Huwezi ukasema unauchukia wizi halafu ukawa unawapa hifadhi wezi na huku ukijua ni wezi.Mpiga dili karudi kwenye chama cha wapiga dili, halafu kuna misukule wanashangilia tu wao wamesharidhika kuwa wanawashangilia wenzao wakija kupewa vyeo wao wapo tu.
Kumbe hafai kabisa.Jamaa karudi Ccm baada ya deal yake kukubalika.
Karudishiwa kitalu chake cha uwindaji kule Lake Natron(Grern Miles) /kama condition ya kurudi Ccm.
Mtakumbuka baada ya kuachishwa uwaziri kitalu hiki kilizushiwa mizengwe hadi kufungiwa. Kilikuwa cha jamaa.
Unajua lakini maana ya "bonner"?Wacheza kamari wana msemo wao Kamanda, husema HEADS I WIN TAILS YOU LOSE. Hii kaka hata uiweke kivipi (ujifurahishe nafsi yako) ni pigo kubwa. Inaonyesha dhahiri chademathink jinsi ilivyo. Wenzenu CCM wamekupeni kachero nambariwani kawasambaratisha ukawa na kuipoteza zanzibar baada ya kuwajulia mbinu za CUF. Huyu ni bonner, always a bonner. Yaani inaonyesha kwamba wote nyie saizi yenu ni Nyalandu kama aliweza kuwahoodwink.
CCM ni jalalaSi ndio yamekuja kufanyiwa recycle?
Huyo jamaa ni mwezi mchanga halafu asivyojitambua na pombe anakunywa unafikiri kitabaki nini kichwani kama siyo makamasi.Kwanza tumeambiwa Nyalandu ndie aliyemhifadhi Lissu Ubelgiji kwenye nyumba yake.
Sasa ndie aliyewalipa mshahara wakina Mnyika.
Itafuata hela zote za dhamana alikuwa anatoa yeye.
Halafu, kampeni yote ya Lissu aliifadhili yeye.
Mwisho, pesa ya kuanzisha chama aliitoa yeye.
Kuweni basi hata na aibu kidogo.
Amandla...
Hiyo mimba uliyodungwa chato itakutoa rohoMpiga dili karudi kwenye chama cha wapiga dili, halafu kuna misukule wanashangilia tu wao wamesharidhika kuwa wanawashangilia wenzao wakija kupewa vyeo wao wapo tu.
Kama wenye akili ni aina ya Nyalandu wakimbie tu. Kitendo cha cdm kuendelea kukubalika na wananchi ni jinamizi kubwa sana kwa ccm, mpaka wanaccm wasio na impact yoyote ndani ya cdm wanaporudi ccm eti wanafurahi! Wamerudi akina Lowassa, Sumaye nk Lakini ccm bado imezidi kutegemea vyombo vya dola kutangazwa washindi. Inabidi uwe mwendawazimu kuona Nyalandu kurudi ccm ni pigo kwa Cdm.
Chadema inatakiwa kukimbiwa na kila mwenye akili.
Hivyo ukiona watu wanafurahi nyalandu kuondoka jua kuwa wanafurahi chadema kukimbiwa
Chadema wameumia sana Nyalandu kuwaacha mwisho wa mwezi!
Nyalandu ndio alikuwa analipa mishahara ya Ufipa!
Kwanini mtu uumie hivi hadi uanzishe mada kabisa ya mtu kuhama chama ulicho wewe?!?
Hii ni kutotambua kuwa mtu anaingia kwenye siasa mainly kwa ajili ya nafsi yake either kwa ajili ya kipato, power au umaarufu na sio kwa ajili ya kukuburudisha wewe na nafsi yako. Ukijua hilo utaacha kukimbiza na wanasiasa kuapizana...oh wasalitii...
Sugu amechukua mikoba ya Nyalandu!Ina maana unasema alikuwa kama Pole pole kwa mataga na buku 7?
Sasa kazi inapoendelea mtakula wapi?
Wacheza kamari wana msemo wao Kamanda, husema HEADS I WIN TAILS YOU LOSE. Hii kaka hata uiweke kivipi (ujifurahishe nafsi yako) ni pigo kubwa. Inaonyesha dhahiri chademathink jinsi ilivyo. Wenzenu CCM wamekupeni kachero nambariwani kawasambaratisha ukawa na kuipoteza zanzibar baada ya kuwajulia mbinu za CUF. Huyu ni bonner, always a bonner. Yaani inaonyesha kwamba wote nyie saizi yenu ni Nyalandu kama aliweza kuwahoodwink.
Kama CDM watampokea yeyote toka CCM kwa mbwembwe, basi kitakua sio chama cha siasa bali ni kikundi cha kisanii.
Sugu amechukua mikoba ya Nyalandu!
Wanasiasa wote wapo after matumbo yao, hulka ambayo kimsingi anayo kila mwanadamu very deep down.
Wote waliohama kutoka CCM kwenda CHADEMA then kurudi CCM wanahangaika hivyo katika kutafuta fursa za kupiga tu
Yes alafu baada ya hapo ndiyo ATCL itaanza ku-genarate faida na Udart itaanza kununua mabasi mapya 15 kila mwaka.Chadema inatakiwa kukimbiwa na kila mwenye akili.
Hivyo ukiona watu wanafurahi nyalandu kuondoka jua kuwa wanafurahi chadema kukimbiwa
Jana Jk alikuwa na Furaha sana baada ya Waziri wake wa Mwisho wa Maliasili na Utalii kurejea Chamani, kashindwa kujizuia hadi wamekumbatiana!
Mbona wakati anahamia huko chadema mlishangilia na mkampa na cheo kabisa Cha mwenyekiti Kanda ya Kati na mjumbe wa kamati kuu? Kwa nini hawajakupa wewe mwenyeji?
Hoja ni kuwa kwa nini CCM wanafurahi Nyalandu kutoka chadema na si kwa kujiunga na CCM?