Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Mimi deni limeongezeka January hii
 
Mkuu haa kwenye screenshot ya system yao, ina maana unawadai umelipa zaidi ya kias ulichokopeshwa
 
Kwani lazima wote tufiche mambo yetu. Acheni ujinga. Mbona msharaha wa Rais wa Marekani unajulikana kuwa ni USD400,000 kwa mwaka. Mwalimu kaonyesha jinsi ambavyo deni lake limebadilika ghafla. Nyie inawauma nini kuonyesha salary slip yake? Kama hautaki kuona, pita kimya kimya.

Kama utahangaika kujua salary slip iliyowekwa hapa ikiwa haina jina kuwa ni ya nani, basi wewe una roho ya kichawi kama siyo mchawi kabisa.
 
Ngoja wali trace
 
Sawa mkuu. Uwe na siku njema.
 
STATEMENT ZA HELSB NA SALARY SLIP ZINASOMA TOFAUTI MFANO MM SALARY SLIP INASOMA 9,000,000 na Statement yao inasoma 7,000,000
Ulisikia alichosema Rais kwenye May Mosi kuhusu HESLB, tozo nyingi zimefutwa Kule bodi lakini bado zinasoma kwenye salary slip, ukiwa mzubavu watakata yote milioni 9 kwa uzembe wako, wakati wenzio wanaenda kuhahakiki madeni bodi wewe ulikuwa wapi?

Utakuwa Kama huyu jamaa anaeshangilia deni kuisha wakati kashazidisha karibu milioni 2
 
Deni limepungua au kufutwa baada ya agizo la rais kufuta retention fee,wengine yameisha kabisa na wengine yamepungua,mimi nilikua na 5.something imepungua hadi 3.2,so hongera mkuu kwa kujitanzua na hicho kitanzi.
 
Hongera. Naona umegundua kosa lako la kuweka vielelezo vyako kama ushahidi na hivyo umeamua kuviondoa. Lakini umeshachelewa kwani tayari tunavyo kwenye kanzidata yetu. Deni litaendelea kama ambavyo salary slip yako ya February 2022 itakavyosoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…