MAAJABU!!! Mdogo wa kiume wa Jokate ana miaka 30 lakini Jokate anamiaka chini ya 30 hahaha

Wema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha
 
Forbes Africa linaruhusu umri zaidi ya 30 kwenye lile jarida lao so hakuna issue.
 
Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.

Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
Ni wanawake wajinga...mfano km mim huwa sifichi umri wangu...
na wengi hawaamini nikiwatajia umri wangu cz wengi huisi mimi ni mdgo zaidi...kumbe ni mkubwa tu.....thanks babu na bibi kwa dongo zuri...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni wanawake wajinga...mfano km mim huwa sifichi umri wangu...
na wengi hawaamini nikiwatajia umri wangu cz wengi huisi mimi ni mdgo zaidi...kumbe ni mkubwa tu.....thanks babu na bibi kwa dongo zuri...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hongera kwa uzuri wako pamoja na genes nzuri zinazokupa umbo zuri.

Lakini pia nadhani una mtu wako wa uhakika (mume au mchumba). Kama bado ungekuwa kwenye soko huria ungekuwa mgumu kidogo kuanika umri wako.
 
Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.

Hakika haya ni maajabu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sijui hata ni nn et, hua inatokea baadhi ya familia bana, me mwenyewe kuna mdogo wangu ananizidi umri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wabongo kwa kushupalia vitu ambavyo havina mchango wowote wa maana katika maisha yenu hamjambo.

Endapo tu juhudi hizi tungeziamishia kwenye kampeni ya kutaka serikali itupunguzie kodi ambazo hazina kichwa wala miguu, naamini tungepata ahueni kubwa sana kulinganisha na sasa.
 
Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32
Jokate aliwahi kuwa jirani yangu, friend, etc ila baada ya kuwa miss urafiki wetu uliisha. Maana alianza kunatanata. Jokate Kuzaliwa 20 machi 1987. Kaanza primary olympio 1993 akiwa 6yrs, na Chuo alisomea Political science na Philosophy. This year ndio katimiza 30yrs. Namfahamu vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaa. Taarifa zingine zipuuzwe.
 


Acha umbea mkuu mbona naye ana 30??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…