Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Ujana mtamu. Huoni le mbebez kila siku yupo kwene birthday na afterschool bushKwanini huwa wanadanganya umri?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujana mtamu. Huoni le mbebez kila siku yupo kwene birthday na afterschool bushKwanini huwa wanadanganya umri?!
[B ] Ni mwiko kutaka kujua Umri wa mwanamke, isipokuwa awe anaonekana chini ya 18Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.
Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
28x2=56Mbona lemutuz ana miaka 28 kasoro
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]28x2=56
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetishaWema Sepetu alikuwa na miaka 26 tangu 2008 mpaka leo...sijui wanatumia calenda ya wapi..
Mtaalam kapandishe uzi wetu wa JUVENTUS kule. Maana jmosi patachimbika.Vyeti feki kila kona
Ni wanawake wajinga...mfano km mim huwa sifichi umri wangu...Wanawake wakifikia umri wa miaka 25 basi umri huganda hapo.
Hupaswi kumuuliza tena umri wake mpaka atakapo jukuu.
Hongera kwa uzuri wako pamoja na genes nzuri zinazokupa umbo zuri.Ni wanawake wajinga...mfano km mim huwa sifichi umri wangu...
na wengi hawaamini nikiwatajia umri wangu cz wengi huisi mimi ni mdgo zaidi...kumbe ni mkubwa tu.....thanks babu na bibi kwa dongo zuri...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
SABUNI + MAJIWema alichukua taji na miaka chini ya 20 mwaka 2006. Hiyo akseleresheni umeitoa wapi... Hamsikii raha bila kumtaja Madame kwenye upuuzi wenu eh?
.😛ovuuSABUNI + MAJI
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sijui hata ni nn et, hua inatokea baadhi ya familia bana, me mwenyewe kuna mdogo wangu ananizidi umri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mdogo wa Jokate niliyosoma nae ambaye nipo nae sawa kiumri yeye anamiaka 30, lakini dada mtu ana miaka chini ya 30.
Hakika haya ni maajabu
Jokate aliwahi kuwa jirani yangu, friend, etc ila baada ya kuwa miss urafiki wetu uliisha. Maana alianza kunatanata. Jokate Kuzaliwa 20 machi 1987. Kaanza primary olympio 1993 akiwa 6yrs, na Chuo alisomea Political science na Philosophy. This year ndio katimiza 30yrs. Namfahamu vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaa. Taarifa zingine zipuuzwe.Joketi tumemaliza naye mlimani 2010 akisomea sociology.tena yeye alitangulia kumaliza six 2006.akadelay chuo mwaka mmoja.so kimahesabu rahisi tu ni above 32
Gigi wa Wakili msomi? Sura ka Kibuyu, ila masela wanalia gizani. Huko nako wametegesha kamera siku hizi. MASELA MTAUMBUKA TU.Giggy money ana 17