Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Hivi hawa simba hawayajui maadili yetu ya Kitanganyika au kisirani tu?

Mbona tulishaelezana sana humu kuhusiana na mila za kitanganyika mpaka tukaandika majarida!

Video imewabamba simba dume watatu katika mbuga ya Serengeti wakipandana kwa zamu na kwa hamasa ya hali ya juu sana!

Sijui ni upwiru wa nyikani ama ni nini lakini wanasayansi wa kitanganyika hawana budi kutufafanulia hili swala limekaaje katika ulimwengu wa wanyama.

Tulishaelezwa sana humu na mabingwa wenye utaalamu wa kisayansi kwamba wanyama wana akili sana ati huwa hawakosei kati ya tundu la papuchi na tundu la haja kubwa, lakini hawa simba wa serengeti wanazagamuana tu kwenye inye.

Hili swala liko kinyume kabisa na mila zetu za kitanganyika na haliakisi kabisa maadili yetu.

Sisi kama watanganyika lazima mila zetu ziheshimiwe katika mipaka yote ya nchi!! Hawa simba ni nani wa kukiuka mila zetu?

MY TAKE: Nimeshtuka hadi tumbo langu la uzazi limecheza.


View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr


View: https://youtu.be/yDMtYdJoGQA?si=Z9uWaBNGnxbC2R48
 
Ni kawaida wanyama dume kusarandiana ila sijaona kama wanaingiliana. Mbuzi, kondoo, ng'ombe wanapandana, unaweza kudhani wanacheza na kuamua kupotezea. Nimewahi kuona kondoo dume akimsarandia mbuzi jike huku akimpanda kibabe ila sikuona akiingiza dushe mbunyeni. Huwa tunatoa adhabu kwa mnyama anayeonesha vitendo visivyo vya kawaida kwenye mahusiano yao ya kufanya mapenzi
 
Ni kawaida wanyama dume kusarandiana ila sijaona kama wanaingiliana. Mbuzi, kondoo, ng'ombe wanapandana, unaweza kudhani wanacheza na kuamua kuamua kupotezea. Nimewahi kuona kondoo dume akimsarandia mbuzi jike huku akimpanda kibabe ila sikuona akiingiza dushe mbunyeni. Huwa tunatoa adhabu kwa mnyama anayeonesha vitendo visivyo vya kawaida kwenye mahusiano yao ya kufanya mapenzi
Kumbe hapo "wanasarandiana"?

Hii "kusarandiana" madume kwa madume ni jambo la kisayansi au la kifirauni tu?

Nimeona hapo simba kapiga uno la falipupa kuashiria anashindilia mzigo?

Hilo uno limekaaje?


View: https://youtu.be/RnRRoMdKwpk?si=33PzimEG42RQA0Fr
 
Wangekuwa porini ningeshirikiana na wewe kushangaa, ila kama hao wa kufungwa sishangai kama wamekuwa trained ili 🌈 wajiongezee wafuasi. Pia udumavu wa kiwango cha juu kutafuta faraja za ujinga kutoka kwa wanyama pori na wakufugwa.
 
Back
Top Bottom