Kwahiyo mnavyosema kwenye Sala " Bikra Mariam awaombee ninyi wakosefu" pale Huwa mnafanya nini?Hakuna anayemwabudi bikra maria. Mbona kichwa chako kizito kuelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mnavyosema kwenye Sala " Bikra Mariam awaombee ninyi wakosefu" pale Huwa mnafanya nini?Hakuna anayemwabudi bikra maria. Mbona kichwa chako kizito kuelewa?
Mimi nimelelewa kwenye ukatoliki nina maswali kadhaa Je Maria anastahili kupewa sifa? Kama hastahili kwa nini kwenye ubeti wa tano wa wimbo wa ATUKUZWE MUNGU WETU POTE DAIMA amewekewa apewe sifa? wakati sifa na utukufu vipo reserved for God and His Christ only?Exactly. Then pay respect to virgon mary you will be in a good position
Halafu ataje hilo kaburi la B.maria liko wapi hadi leo. Na asitudanganye eti limeharibiwa na maroketi ya Hizbullah au HAMAS.Taja mtoto wa bikra maria hata mmoja mbali na yesu pekee.
Hata wewe unaweza kuniombea wala nikikutaja uniombee sijafanya kosa. Mambi yako yanaweza kuwa ngao kwa mwingine. Sasa wewe kama unaweza kumuombea mtu sembuse mtu aliyemzaa yesu. Si atakuwa zaidi ya hapoKwahiyo mnavyosema kwenye Sala " Bikra Mariam awaombee ninyi wakosefu" pale Huwa mnafanya nini?
Bikira Maria alikuwa mama wa Yesu, lakini hausiki chochote na ufalme wa Mungu, na alikuwa mwanafunzi wa Yesu kama wengine tulivyo, ulitaka iweje kuhusu Bikira Mariamu aabudiwe kama mnavyofanya? awaombee kwa Yesu ili hali mnadirect access kwa Yesu mwenyewe?This is too contradictory.
Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa sana.
Bikira Maria kwao wanamuona kama bahasha iliyokuwa ndani ina barua. Baada ya kuitoa barua basi bahasha ile inatupw na kuonekana takataka. Hivi ndivyo wanavyomuona Bikira maria.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Hata leo ikitokea Yesu akarudi duniani wako radhi kumkana na kusema mwamposa ndo yesu wao.
Hivi anachofanya Mwamposa kina tofauti gani ni mazingaombwe ya hapo awali yaliyokuwa yanafanywa mashuleni kama power mabula nk au utabili wa hali ya hewa.
Mtumishi kondoo wakija kwako uwaombee , wanakuwa wanakuabudu ?Kwahiyo mnavyosema kwenye Sala " Bikra Mariam awaombee ninyi wakosefu" pale Huwa mnafanya nini?
We jamaa hata Bible huijui yesu si Mungu wala mwana wa Mungu.Yesu siyo mwanadamu plz. Yesu ni mungu
Imeandikwa kuwa bikra maria ni mama wangu na alipomtembelea elizabeth kitoto kichanga kiliruka ruka ndani ya tumbo lake kimaanisha bikra maria hakuwa w kawaida. Ndo mana elizabeth alisema imekuwaje mama wa bwana wangu anijilie mimi.Mimi nimelelewa kwenye ukatoliki nina maswali kadhaa Je Maria anastahili kupewa sifa? Kama hastahili kwa nini kwenye ubeti wa tano wa wimbo wa ATUKUZWE MUNGU WETU POTE DAIMA amewekewa apewe sifa? wakati sifa na utukufu vipo reserved for God and His Christ only?
Maria hawezi kuwaombea kwa Mungu ila Kristo ambaye ni mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ndiye mwenye uwezo huo.Hata wewe unaweza kuniombea wala nikikutaja uniombee sijafanya kosa. Mambi yako yanaweza kuwa ngao kwa mwingine. Sasa wewe kama unaweza kumuombea mtu sembuse mtu aliyemzaa yesu. Si atakuwa zaidi ya hapo
sababu za kupewa sifa ziwe zipi?Mimi nimelelewa kwenye ukatoliki nina maswali kadhaa Je Maria anastahili kupewa sifa? Kama hastahili kwa nini kwenye ubeti wa tano wa wimbo wa ATUKUZWE MUNGU WETU POTE DAIMA amewekewa apewe sifa? wakati sifa na utukufu vipo reserved for God and His Christ only?
Mbona mwamposa huwa anawaombea sana. Au mwamposa ni zaidi ya Bikra mariaMaria hawezi kuwaombea kwa Mungu ila Kristo ambaye ni mpatanishi kati ya wanadamu na Mungu ndiye mwenye uwezo huo.
Bikira huvunjika kwa pande mbili moja kwa kuingiliwa na mwanaume bikira huondokaHuwajui walokole wewe. Hawataki kabisa kusikia habari ya Bikira Maria. Ukitaka kujua hilo, sikiliza mahubiri yao yote uone kama kuna siku watamtaja Bikira Maria. Wakifikia hapo huwa wanazima data
Jamani hakuna anayemuabudu bikra maria. Hebu tumieni akili basi hata za darasa la kwanzaBikira Maria alikuwa mama wa Yesu, lakini hausiki chochote na ufalme wa Mungu, na alikuwa mwanafunzi wa Yesu kama wengine tulivyo, ulitaka iweje kuhusu Bikira Mariamu aabudiwe kama mnavyofanya? awaombee kwa Yesu ili hali mnadirect access kwa Yesu mwenyewe?
Hata wewe unaweza kuomba kwa Mungu na akakujibu bila kupitia kwa MariaMbona mwamposa huwa anawaombea sana. Au mwamposa ni zaidi ya Bikra maria
Mbona kwenye kesi yake hapa duniani Yesu hakukataa popote kwamba yeye sio mwana wa Mungu. Aliwaonesha vitu ambavyo kwa macho yao ya kibinadamu wasingekaa waelewe. Ufalme wake sio wa dunia hii. Lait ungekua ufalme wa dunia hii asingekuja kama mtoto mdogo. Ufalme wake ni wa Mbinguni. Kule atawala kama mwana wa Adam, atakuja na mawingu ya mbinguni kuuchukua ufamle wa dunia hii.Hakujikana popote.We jamaa hata Bible huijui yesu si Mungu wala mwana wa Mungu.
Ushahidi
Mathayo 26:61-64
Hata baadaye wawili wakatokea, wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu la Mungu, na kulijenga kwa siku tatu.
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu.
Yesu akamwambia, Wewe umesema; lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.
Alizaa kwa uwezo wa roho mtakatifu so theoretically bado ni bikra.Bikira huvunjika kwa pande mbili moja kwa kuingiliwa na mwanaume bikira huondoka
Ya pili bikira huondoka kwa kuzaa Mwanamke akizaa pale anapotokea mtoto bikira huondoka
Maria bikira yake iliondoka kwa kuzaa Yesu sababu ile mimba haikuwa ya binadamu
Sasa kama alizaa na bikira ikaondoka kanisa katoliki linapata ujasiri wapi wa kuendelea kumuita Bikira Maria kama sio utapeli.Huo utapeli makanisa mengine ndio waliugomea ndio masna huwezi kusikia wakisema Bikira Maria mama Mungu au wa Yesu.Husema tu Maria mama yake Yesu Sababu wana uelewa mkubwa kuliko wakatoliki
Bikira ni mwanamke mwenye bikira
Maria Mama yake Yesu bikira ilitoka alipozaa Yesu
Sasa mbona unaenda kanisani si ungekaa nyumbani ukaomba. Au nyumbani kwako mungu hayupoHata wewe unaweza kuomba kwa Mungu na akakujibu bila kupitia kwa Maria
Nani alikwambia bikra maria alikufa? Kumbuka kifo ni matokeo ya dhambi na bikra maria hakuwa na dhmbi ndo mana akamzaa yesu. Nuru na giza havichangamani. Dhambi ni gizaNitakujibu kibinadamu kabisa.
Je, Bikira Maria yuko hai?
Yesu tunamtukuza kwakuwa yuko hai, maandiko na Roho vinashuhudia.
Mtu yeyote akifa lake limekwisha.
Kale kamstari kamoja kwenye Luka Mt. ndiko kanawafanya mumwabudu Maria?
Mimi ni hai, na ninawaombea Kwa Mungu aliye hai Yesu Kristo aliyefufuka.Mtumishi kondoo wakija kwako uwaombee , wanakuwa wanakuabudu ?