King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mama lazima afumue CHAWA wa MEKO ili kazi zake ziende vizuri,anachofanya hata ungekabidhiwa wewe ungepangua tu safu,hivi kweli Mama anaweza kufanya kazi na mtu kama andakava sabaya?Ameanza na mguu mbovu! Ni dhahiri kazungukwa na wajanja wajanja! Anabomoa kila kitu kwa kauli na matendo.
Afahamu tunamsikiliza na wengi wanabaki na mshangao! Kama mwendo ndio huu tutegemee anguko la CCM tukipata wapinzani serious! Hope wapinzani watakuwa huru zaidi sasa [emoji41]