Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

Mama lazima afumue CHAWA wa MEKO ili kazi zake ziende vizuri,anachofanya hata ungekabidhiwa wewe ungepangua tu safu,hivi kweli Mama anaweza kufanya kazi na mtu kama andakava sabaya?
 

Iwe shamba la bibi mara 2? Umewahi kuona mkataba wowote wa madini? Hebu toa ufafanuzi wa hicho kitu Kabudi huwa anasema sijui tutapata 16% ama 50/50, maana huyo mama kasema kabisa kwenye mkataba na Barrick/Twiga haujakaa sawa. Mwisho wa kutawaliwa kidhalimu umefika.
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema

Hamna mtu analitakia mema hilo dubwasha liitwalo ccm, hapa watu wanasema huyo mama kagoma kutawala kidhalimu. Hilo kundi la majizi ya kura liitwalo ccm unalijua ww. Kama MATAGA ni ccm na huyo mama ni ccm, mbona akisifiwa mnapanic?
 
Tunawajua wanaofanya ujinga huo kuwalisha vijana ili wamchafue mama ila 2022 sio mbali nafasi walizonazo ndani ya chama watazisikia redion haiwezekani kiongozi wa CCM unaongea ka vikundi ka watu kumchafua Rais ili umdhoofishe hatutakubali
 
Leo zao la CCM Linakuwa bora.

In short mama hana vision hayuko consistent...
heheheh! mtasubiria sana na MKIZINGUA MTAZINGULIWA mbona kelele nyingi wastaafu walikejeliwa wakatulia sasa tulieni sindani ipenye.
 

Mitandao imekuwa ndiyo VAR ya mama, akiteua anakuja kuangalia wadau tunasemaje.
 
Nimesoma yote, maajabu ya wana sijayaona.
 
Kiama kimewazukia MATAGA.
What goes around comes around!
 
Wewe ndio unaefaa kuwa ikulu, haya toka sasa uende.

Na huu upumbavu mliouanzisha wa kusema hii nchi inaenda kugeuzwa shamba la bibi unashangaza kweli. Hivi mnadhani kila mtu ni mkabila na mlafi wa madaraka??

Nyie vitulizeni hebu na mumuache mama afanye kazi
 
Eti unajiita mtazamo. Sijui ni mtazamo gani huo!

Sisi Watanzania ambao tunaipenda hii nchi tumeamua kubaki na mama na tutampa mashirikiano na kumtii kama kiongozi wetu.

Tuna imani nae na tunajua atatufikisha tunapotaka kwenda.

Mama hana makundi wala hahitaji kuabudiwa wala kusifiwasifiwa.

Tunampenda rais wetu, tutamlinda na tutamuombea kwa Mungu ili nyinyi wanafiki ña wazindiki msifanikiwe mabaya yenu mnayopanga dhidi yake na serikali yake.
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema
Hapa hakuna cha Chadema wala nini.

Hawa ni watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yao.
 
Leo zao la CCM Linakuwa bora.

In short mama hana vision hayuko consistent...
Yaani unamzungumzia mtu aliepo kwenye siasa na kushika nafasi za juu za uongozi wa Tanzania hii for years kwamba hana vision???

Hapo pengine hata ajira huna na hujawahi fanya kazi popote pale na hujui hata ABCs za uongozi.

Ni njaa tu na tamaa na ulafi wenu nyinyi Sukuma gang ndio vinawafanya mumkosoe mama katika kila analotenda.

Sasa tunawaambia mmesanda. Sisi watanzania tumeamua kwenda na mama na nyinyi kama hampendi basi hameni rudini katika nchi zenu
 
Mitandao imekuwa ndiyo VAR ya mama, akiteua anakuja kuangalia wadau tunasemaje.
Mama ni msikivu, mwenye busara na hekima.

Watu tuliswali swala kuu kumuomba Mungu alie juu atuondolee dhulma na kila baya katika nchi yetu. Atujaalie upendo na atupe viongozi wenye hekima na busara, huruma na upendo, wenye kutuskiliza.

Unajua matokeo ya swala zetu???

Kaa kwa kutulia na umuache mama afanye kazi.
 
Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja.

Hivi ni awamu ya 6, au ni rais wa 6 ila awamu bado ni ya 5?
 
Kwa hizi akili, hili taifa unaweza kuweka hata mbuzi ikulu maisha yakaenda tu.
 

Hahaha, yaani sasa hivi Team JPM naona kama wamepanick, wanatuonea wivu sisi na mama yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…