Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

CCM ilishakufa mara nyingi sana , sema vyombo vya dola ndio huifufua.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ni lini lini hiyo ikulu haikuwa na vacuum?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ila wabongo ni wanafiki yaani huyu mama hajamaliza hata mwezi ila kila mtu anajidai mjuaji na mshauri wake wakati wa jiwe kila mtu alikuwa kimya, na wengi wanaoshauri hata hawajawahi kuwa balozi au mwenyekiti wa mtaa
 
Kupandisha madaraja na kuboresha maslahi ya watumishi wa umma

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwendazake mambo ya kuteua na kutengua imetokea mara nyingi sana au unajisahurisha?
 
Kuna aya ya Qur'an inasema: "wamakru wamakaraAllahu wallahu khairu-lmaakiriin". yaani wao wanapanga yao na Allah anapanga yake, na yeye Allah ndie mbora wa wanaopanga mipango.
Tayari walikuwa wanapanga kumuweka JIWE litawale milele ili atuumizie zaidi lakini na Mungu alipanga yake!
Kwa kweli Allah ni mbora wa mipango!
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema
Kumbe bado kuna watu mna akili ziko matakoni
Kazi ya upinzani ni kuikumbusha serikali pale inapoenda ndivyo sivyo, mama kama anafanya mengi mazuri kwanini asipongezwe?
 
Mama yetu Rais usijali maneno ya wanaochukia wanawake km huyu aliyoandika posti hii
 
Samia ni bonge la Raisi

nadhani tuishie hapo

Hatma ya Maraisi wa kike Africa ndio kitu pekee kinachonipa mawazo juu yake😥
 
Ila wabongo ni wanafiki yaani huyu mama hajamaliza hata mwezi ila kila mtu anajidai mjuaji na mshauri wake wakati wa jiwe kila mtu alikuwa kimya, na wengi wanaoshauri hata hawajawahi kuwa balozi au mwenyekiti wa mtaa
Mama ameonyesha njia ya kuelekea kwenye utawala Wa kufuata katiba.

Jiwe lilitutesa sana,lilisigina katiba kwerikweri.
 
tumwombe Mungu kwa kweli...kuna minong'ono nasikia sikia. Mama inabidi awe kiongozi mwenye maamuzi na msimano. wanaomsifia wana lao jambo...avunje kwanza vikundi vyote vya zamani va vipya vya wahujumu uchumi na walaghai. Nchi ina wasaliti wengi ambao wanapokea sapoti kwa wakolonio...hatutaki ukoloni mamboleo sisi.
 
Utakuwa msukuma wewe,mna roho mbayaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…