Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

Mchagueni mfadhili wenu Gwajima awe Rais.
 
Lovejr kama wakati wa Jiwe ili kuwa sahihi kupinga humu JF, kwanini sasa hivi isiwe sahihi? Kama sio, wewe una tofauti gani na MATAGA waliokuwa wanapinga Jiwe kukosolewa?
Sukuma Gang mna hasira sana
 
Wasukuma wacheni noma zenu
 
Hamna mtu analitakia mema hilo dubwasha liitwalo ccm, hapa watu wanasema huyo mama kagoma kutawala kidhalimu. Hilo kundi la majizi ya kura liitwalo ccm unalijua ww. Kama MATAGA ni ccm na huyo mama ni ccm, mbona akisifiwa mnapanic?
Wasukuma wana roho mbaya sana
 
Ni lini ma CCM yalikubalika? Mwacheni mama achape kazi! Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Wewe MATAGA itikia "Kazi iendelee"
 
SSH ni Rais wa Sita katika awamu ya tano.ambayo kimsingi na kikatiba inaisha mwaka 2025..baada ya hapo Kama ataamua kugombea kwa.mujib wa katiba na akashinda atakuwa Rais wa Sita katika awamu ya Sita ..na ikatokea Mtu mwingine yeyote yule akashinda atakuwa ni Rais wa 7 katika awamu ya Sita.
 
Mama akifanya vibaya, furaha kwa wanasiompenda πŸ˜€

Mama akifanya vizuri, kisirani kwa wanaomchukia πŸ˜€

Binadamu ndivyo tulivyo, No one is perfect except God...

Mimi namuombea tu, Mungu amuongoze na amfanyie wepesi kwenye majukumu yake.
 
Unataka wapinzani wabanwe?
 
Naona wanamtandao na team msoga ndio wamerudi kwa kishindo kupitia mlango wa uani.
 
Rais si Mungu kwamba akiamua ufe unakufa.
Tafakari kabla ya kukurupuka kunijibu.
 
Mwenzenu si Mwanasheria ni mwanakijiwe tu lakini kuna haja ya kuweka wazi hii Serikali ni ya Awamu ya Tano au ya Sita na hili lingeeleweka zaidi kama lingetamkwa na Serikali yenyewe kupitia Mwanasheria Mkuu maana inaonekana Wasukuma wajinga na CCM wanataka Nchi iendeshwe na Mwendazake mpaka mi5 mingine. Kwa uelewa wangu wa kijiweni, Serikali hii ni ya Awamu ya Tano, Kipindi cha Pili na cha mwisho na Rais wetu wa kumaliza Kipindi hiki ni Samia Suluhu Hassan ambaye ana madaraka na mamlaka kamili kuingiza Nchi hii. Rais Samia siyo Kaimu wa Mwendazake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…