Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Umenena vyema mkuu..nyuma ya corona kuna mambo mengi yamejificha kwa mataifa makubwa.
Nani wa kuujua ukweli huo?
BINGWA WA KEMIA ANAMAONO YAKE! ANAJUA ANACHOKIFANYA
 
Habari zenu wazuvendi

Nimesoma bandiko la Bwana Pascal Mayalla, nikapatwa na hofu mwanzoni japo huku mwishoni sikujua kwanini hofu ile kama imenywea au umeamua kutilia na si kwisha.

Naam, nimepatapo kushuhudia nguvu ya hiki kinachoitwa tiba mbadala na nikiri kwamba muunganiko wake sikuupata vema japo matokeo ni dhahiri.

1. Mtoto wa Kiume anapozaliwa imekua ni desturi kwa mzazi wa like au ndugu kukesha kuvizia kitovu kisije katika na kuudondokea uume kwa madai ya kwamba mtoto huyo atakua hanithi.

Practically ni kweli lakini theoretically haielezeki.

2. Ikitokea mtu yeyote akadondoka chooni hatakiwi kutolewa mle chooni mpaka lichukuliwe Lile tope litokanalo na maji ya bafuni na apakazwe mwili mzima hii humponya matatizo ya uendawazimu, kupooza au kupelekea kifo.

Practically ni kweli lakini theoretically haielezeki.

3. Unapokua na Mtoki na hii husababishwa na upungufu wa Askari wa mwili kupambana na maradhi hivyo wale Askari mwili hujikusanya sehemu moja kwa ajili ya kwenda kufanya shambulio kwenye ugonjwa ( hutokea mara nyingi mtu anapokua na kidonda) japo wataalamu wa Afya husema pia mitoki huwapata watu wenye HIV pia. Namna ya kuuondoa mtoki ni kupasha Moto kucha za vidole vya Mikono na miguu kwa kuweka kijinga cha moto juu hadi unapoanza kuhisi maumivu.

Practically ni kweli lakini theoretically haielezeki.

4. Kujifukiza kwa Muarobaini au pia huaminika kukusanya mizizi na majani ya miti tofauti arobaini na kuichemsha kisha unajifukiza, unakunywa maji yake na unaenda kukoga yale yaliyobaki. Hapo malaria inapigwa kumbo kali sana na hazipiti dakika 30 tayari unakua mzima wa afya

Practically ni kweli lakini theoretically haielezeki.

5. Hivi mnisaidia hasa Sauna, tiba ya mionzi hufanyaje kazi?

HATA HIVYO
Tusimlaumu yeyote toka kwenye kada ya Afya kwa kutosema lolote kwani namna yao ya kuthibitisha mambo iko practical na theoretical kuliko kada nyingine.

Dr. John Magufuli yupo sahihi sana pia Dr. Faustine Ndungulile yupo sahihi kipa mmoja akiwa na mtazamo katika fani yake.

Alakul hali.

Tuzingatie vyote viwili kinga, ushauri wa kitaalamu na pia njia zetu za asili pia katika vita hivi.

Niwatakie maandalizi mema ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kutimiza lengo lake la LAA ALAKUM TATAKUN (ILI TUPATE LUWA WACHAJI MUNGU)

WABILLAH TAWFIQ WA HADHA ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAQAT

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata alipooongelea fumigation ndio nimemuelewa huyu raisi tulie naye kwamba tuna mtu sahihi wa kushika ikulu.


Ametahadharisha juu ya matumizi ya kemikali kwenye kufanya fumigation mijini na mitaani ambazo zingine ni imported.

Pia ametahadharisha kupokea misaada kutoka nje bila kujiridhisha kwanza.

Tunataka kiongozi yupi tena wa namna hii?

Kwa nchi kuwa na kiongozi makini, Tanzania tumempata mkemia John Magufuli.
 
Nilichangia hii kwenye uzi mwingine:

Hii itakua unpopular opinion ila nitasema ninachofikiri.

Pasi na chembe ya shaka Covid-19 ni ugonjwa hatari ila, kwa mawazo yangu, dunia nzima ime overact na jinsi ya kukabiliana na huu mlipuko.

Kinachoendelea sasa ni mashindano ya kutoa takwimu za waathirika na kutishana. Bado death rate ya corona sio ya kutisha sana kiasi cha kufanya shughuli zingine zote zisimame. Ikumbukwe watu walikua wanakufa kabla ya corona na wataendelea hata baada ya corona, it's the circle of life. Sasa kila anayefariki ni corona magonjwa mengine yote yamepotea ghafla. Hata mimi nikifa kwa corona hakuna sababu ya maisha ya wengine kusimama.

Nadhani kuchukua tahadhari tu ingetosha ila sio kusimamisha maisha ya watu juhudi ambazo hazionekani kuzaa matunda yoyote, mwishoe watu watasema potelea mbali na kurudi makazini. Dawa au chanjo ya corona isipopatikana hadi mwakani watu wataendelea kukaa ndani mwaka mzima?

Sasa bongo nao watu wanataka kila kitu kisimame sababu corona imeua watu watano toka ianze, really? I can assure you malaria imeua wengi zaidi ya hao in the last 24hrs.

According to Wikipedia, Mortality rate - Wikipedia, inakadiriwa watu laki moja na nusu hufa kila siku kwa sababu mbali mbali duniani. Sasa iweje corona iliyoua watu karibu watu laki moja na nusu kwa miezi mitatu isimamishe dunia.

www.worldometers.info/coronavirus/
Confirmed
2,173,432
Recovered
554,786
Deaths
146,291

Media nyingi zinatoa idadi ya vifo na waathrika wapya tu hawasemi wangapi wamepona. Nia ni kujazana hofu.

Come June maisha yataendelea aidha chanjo imepatikana au lah, vinginevyo we're facing economy Crashdown beyond repair. Kilichofanyika so far ni kuua sisimizi kwa nyundo.

Leo naongezea, JPM kawa sahihi na mfano wa kuigwa katika mapambano dhidi ya corona, hakuna papara wala lockdown za kishamba. Leo wale wale waliokuwa wakwanza kukimbilia kufunga nchi zao wanaanza kufungua ilhali bado dawa wala chanjo ya corona haijapatikana. Kwahiyo muda wote waliofanya lockdown ni useless na lockdown zao hazijaa matokeo chanya yoyote, wana victims sawa au zaidi ya ambao hawajafanya lockdown kabisa.
 
its
 
Nyuzi joto 100?? Tuanze na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulishawahi kujifukiza kwa mvuke wenye joto la 100ºC? Acha kamba zako wewe!
 
Kwamba chlorine haiui corona bali alcohol ndio inaua[emoji851]

Wataalamu wa afya kazi wanayo.
Unforgetable
Kingsmann pengine ni kweli, mimi ni Mtanzania niliondoka Tanzania muda mrefu kwa sasa naishi Holand kila siku nafanya kazi kwenye seckta muhimu na kila siku nafanya kazi sipo kwenye lockdown , nafanya kazi 12 hours everyday, na mkoa wangu hapa Holand ndio una visa vingi vya corona lakini mimi sija pata, majirani wanaugulia lakini mimi sijapa huo ugonjwa kwa sasa nafanya kazi 12 hours a day, nikirudi nyumbani kila siku glass tatu za vodka siku ya pili mzima naenda kazini lakini kila siku naambiwa watu 10 wamekwenda mimi sija pata huo ugonjwa mpaka leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…