Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Naomba nikuulize mkuu:
Tufanyeje sasa kwa uongo wote huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is too much!! Bonge la aibu!!! Heri angeongea hata kwa kutumia venacular mataifa mengine wasingejua kaongea nini. Kweli kila mtu ajishonee barakoa yake!!!!
 
Shida akishaanza kuongea hanaga breki. Kusema ukweli nilibaki naona aibu alivyokua akijifanya daktari bingwa wa Corona,wakati Marekani na China hawana hata daktari mmoja.

Aafu watu tuko kwenye matatizo ye ni kutoa vitisho tu.Sjui anafeli wapi huyu jamaa!
This is too much!! Bonge la aibu!!! Heri angeongea hata kwa kutumia venacular mataifa mengine wasingejua kaongea nini. Kweli kila mtu ajishonee barakoa yake!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kwenye maombi ya siku 3, RPC A_town alisema yuko mwanaume mmoja tu atayeiokoa dunia na Janga la korona. tusubiri hatima yetu maana mkombozi sis TZ ndio tunaye hapa hapa.
 
Zaman mbona hiyo mifumo ya hewa ilikua haiaribiki?Epuka kuwa mtumwa.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Haya ni maamuzi binafsi umsikilize mwanasiasa au umsikilize mtaalamu
Humu jamvini watu kazi yao kuandika na kubeza. Siku ukipata maambukizi hakuna alternative cure utaacha kutumia, vinginevyo utakufa kibudu.

Tuendelee kujikinga, stay away from corona virus
 
Mkuu ubarikiwe sana, kwa hakika wewe umri wako waweza kuwa Mkubwa. Watoto humu ni shida tupu.

Kufukiza ni kitu kilikuwa kinafanyika sana tu huko nyuma. Ukoloni mamboleo umeathiri pakubwa jamii yetu.
 
Humu jamvini watu kazi yao kuandika na kubeza. Siku ukipata maambukizi hakuna alternative cure utaacha kutumia, vinginevyo utakufa kibudu.

Tuendelee kujikinga, stay away from corona virus
Timu waabudu mwenge uamini kila kitu maadamu kimetokwa kwenye fikra za mwenyekiti
 
Mkuu ubarikiwe sana, kwa hakika wewe umri wako waweza kuwa Mkubwa. Watoto humu ni shida tupu.

Kufukiza ni kitu kilikuwa kinafanyika sana tu huko nyuma. Ukoloni mamboleo umeathiri pakubwa jamii yetu.
Wa kulaumiwa si ukoloni mamboleo Bali ni hao waliokuwa na maarifa ya tiba wakashindwa kukirishisha kizazi hiki
 
pascal, kumbe waweza kumvika paka kengele! Baada ya kundika hayo yote ya kabla ya uchaguzi wa 2015 na kama hakikukutokea chochote baada ya 2015, basi Jamaa hana kisasi kama ivumishwavyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkemia kachemsha kuhusu 'chlorine fumigation!'
WHO inakubali kuwa chlorine fumigation haiwezi kutibu Corona iliyo ndani ya mgonjwa lakini bado ....' works to disinfect surfaces'!
NI VIZURI TUKAENDELEA KU'DISINFECT' KWA KU'SPRAY' CHLORINE KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI!
 
Hata hivyo njia hii ya mvuke inaweza kusaidia kupunguza dalili au matokeo ya kirusi. Sio tiba kwa sbb haikiuwi kabisa but atleast inapunguza kubanwa kwa kifua na kurahisisha upumuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…