Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Magufuli ni tatizo kwa nchi yetu. Hafai wala hajui anachoongea, waziri msaidizi wa afya alishapinga haya mambo ya kujifukiza kwa sababu maji ya moto ya zaidi ya centigrade 100 yanaharibu (yanaunguza) mfumo wa hewa. Sasa huyu rais analeta uongo wake, anataka watu waendelee kufa. Huyo Magufuli ni tatizo......tena tatizo kubwa!
Naomba nikuulize mkuu:
Tufanyeje sasa kwa uongo wote huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is too much!! Bonge la aibu!!! Heri angeongea hata kwa kutumia venacular mataifa mengine wasingejua kaongea nini. Kweli kila mtu ajishonee barakoa yake!!!!
 
Shida akishaanza kuongea hanaga breki. Kusema ukweli nilibaki naona aibu alivyokua akijifanya daktari bingwa wa Corona,wakati Marekani na China hawana hata daktari mmoja.

Aafu watu tuko kwenye matatizo ye ni kutoa vitisho tu.Sjui anafeli wapi huyu jamaa!
This is too much!! Bonge la aibu!!! Heri angeongea hata kwa kutumia venacular mataifa mengine wasingejua kaongea nini. Kweli kila mtu ajishonee barakoa yake!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kwenye maombi ya siku 3, RPC A_town alisema yuko mwanaume mmoja tu atayeiokoa dunia na Janga la korona. tusubiri hatima yetu maana mkombozi sis TZ ndio tunaye hapa hapa.
 
Magufuli ni tatizo kwa nchi yetu. Hafai wala hajui anachoongea, waziri msaidizi wa afya alishapinga haya mambo ya kujifukiza kwa sababu maji ya moto ya zaidi ya centigrade 100 yanaharibu (yanaunguza) mfumo wa hewa. Sasa huyu rais analeta uongo wake, anataka watu waendelee kufa. Huyo Magufuli ni tatizo......tena tatizo kubwa!
Zaman mbona hiyo mifumo ya hewa ilikua haiaribiki?Epuka kuwa mtumwa.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Haya ni maamuzi binafsi umsikilize mwanasiasa au umsikilize mtaalamu
Humu jamvini watu kazi yao kuandika na kubeza. Siku ukipata maambukizi hakuna alternative cure utaacha kutumia, vinginevyo utakufa kibudu.

Tuendelee kujikinga, stay away from corona virus
 
Labda kwaT anzania yalikuwa hayasemwa hadharani - sual la best sanitizer kuwa na at least 60% alcohol liko kwenye mitandao siku nyingi na ndilo lilisababisha gongo Uganda ikaadimika.
Sual la kutumia joto, lilisemwa siku nyingi sema tu waliolisema hawakuwa na nafasi ya kusikilizwa na audience kubwa. Hata yule mbunge Anna Tibaijuka alilizungumza bungeni mpaka akalalamika watu kufungiwa kusafirisha mkaa! Kwa vile bunge siyo live - ni wachache waliomsikia kwenye youtube; watu wa Kagera huiita Embiranyungu!
Hata Museveni amelizungumza juzi,
Suala la maji ya sabuni kumeng'enya koti la corona virus, nakumbuka padri mmoja alilifafanua vizuri jumapili iliyopita.
La muhimu - kwa kuwa sasa yamezungumzwa na mkuu wa nchi, basi tuyatangazwe bila kuogopa
Mkuu ubarikiwe sana, kwa hakika wewe umri wako waweza kuwa Mkubwa. Watoto humu ni shida tupu.

Kufukiza ni kitu kilikuwa kinafanyika sana tu huko nyuma. Ukoloni mamboleo umeathiri pakubwa jamii yetu.
 
Humu jamvini watu kazi yao kuandika na kubeza. Siku ukipata maambukizi hakuna alternative cure utaacha kutumia, vinginevyo utakufa kibudu.

Tuendelee kujikinga, stay away from corona virus
Timu waabudu mwenge uamini kila kitu maadamu kimetokwa kwenye fikra za mwenyekiti
 
Mkuu ubarikiwe sana, kwa hakika wewe umri wako waweza kuwa Mkubwa. Watoto humu ni shida tupu.

Kufukiza ni kitu kilikuwa kinafanyika sana tu huko nyuma. Ukoloni mamboleo umeathiri pakubwa jamii yetu.
Wa kulaumiwa si ukoloni mamboleo Bali ni hao waliokuwa na maarifa ya tiba wakashindwa kukirishisha kizazi hiki
 
Mkemia kachemsha kuhusu 'chlorine fumigation!'
WHO inakubali kuwa chlorine fumigation haiwezi kutibu Corona iliyo ndani ya mgonjwa lakini bado ....' works to disinfect surfaces'!
NI VIZURI TUKAENDELEA KU'DISINFECT' KWA KU'SPRAY' CHLORINE KWENYE VYOMBO VYA USAFIRI!
 
Hata hivyo njia hii ya mvuke inaweza kusaidia kupunguza dalili au matokeo ya kirusi. Sio tiba kwa sbb haikiuwi kabisa but atleast inapunguza kubanwa kwa kifua na kurahisisha upumuaji.
 
Back
Top Bottom