Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Naomba nikuulize mkuu:Magufuli ni tatizo kwa nchi yetu. Hafai wala hajui anachoongea, waziri msaidizi wa afya alishapinga haya mambo ya kujifukiza kwa sababu maji ya moto ya zaidi ya centigrade 100 yanaharibu (yanaunguza) mfumo wa hewa. Sasa huyu rais analeta uongo wake, anataka watu waendelee kufa. Huyo Magufuli ni tatizo......tena tatizo kubwa!
Tufanyeje sasa kwa uongo wote huu?
Sent using Jamii Forums mobile app