Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

Naungana na wewe Bingwa wa Kemia amesisitiza watu wajifukize kwa mwaroabaini na tangawizi kuua vidudu vya korona....Famigation waliofanya DSM ni upuuzi maana ile ni chlorine haina uwezo wa kuua virus na inawezekana ile famigation ndio iliyosababisha kuongezeka kwa wagonjwa wa vovid19 bingwa wa kemia amewaomba wanausalama wafanye uchunguzi kuhusu ile famigation.
Duh!.. noma sana, mpaka hili janga lipite tutasikia mengi sana kusema kweli.
 
Nimejiuliza maswali haya 10 sijapata majibu... Atakaye nijibu vizuri nampa zawadi ...(maana wabongo ukiahidi zawadi utajibiwa mpaka uombe poo)
1.) Kama ni kupuliza hata China,France nk walipuliza japo hatujajua nidawa gani walipuliza... Je, wale ni wapumbafu?
2.) Kusema kuna mask zinaletwa zawezakuwa na virusi je, haitofanya wanaotusaidia kurudi nyuma? hiyo kazi zakudhibiti ni za polisi alioongea nao?
3.) Duniani sijaona rais anayepambana na mitandao,wote wanajielekeza zaidi kwenye udhibiti,vifaa tiba, kuokoa maisha na mwisho uchumi. Je wote ni wapumbafu?
4.) Badala ya hamisha hamisha wizarani je,sio ingefaa maelekezo na majadiliano Mara kwa mara?
5.) Kuongea toka site yaani dar siyo bora na inaokoa pesa (tunazolia hatuna) kuliko kwenda kuongelea kijijini kwako nakutaka ufatwe na viongozi huko kwenu?
6.) Wafanyakazi wako wanakatwa mikopo ya mabank na bodi ya mikopo elimu ya juu (heslb) kiasi wanaishi kishida nawe hujawasamehe unataka wa nchi za nje na WB wakusamehe wewe,ni logic hiyo?
7.) Watu wangapi wakifa itashtua? Kusema najua wamekufa kumi bila kutoa pole na kusikitika maana yake sio issue?
8.) Kila jambo tunatumia majeshi? Tetemeko majeshi,korosho majeshi,madaraja majeshi,maandamano,mitandao, sasa hata korona? Mbona Kenya Leo rais kakaa na waandishi? Marekani vilevile? Hawa hawana majeshi?
9.) Karantini zinafanyika kila nchi na zinaonesha mafanikio je,kuzipuuza nijambo la busara kisa huko nje pia kunawagonjwa?
10.) Hakuna vikao vya Mara kwa Mara na vya dharura Dodoma ama dar kuhusu korona? Ukiwa kijijini ndipo utaweza kufuatilia janga hili kwa ukaribu? Au ikiwa hujaleta korona wewe na kwenye ilani hukuahidi korona basi hunahaja kuhangaika nayo sana?
Ni maswali tuu, watetezi msipanic
 
Wanabodi,

Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa wakombozi wa taifa letu, Mkombozi wa kweli wa taifa letu kwenye hii vita ya Corona ni Bingwa wa Kemia, ndiye ametoa ushauri bora kabisa wa Kikemia wa namna bora ya kuikabiliana na janga hili la Corona ili kushinda vita hii.

Je, bingwa huyu wa Kemia ni nani na ametoa ushauri gani?
Andamana nami.
1. Background, Professionalism
Tangu kuanza kwa janga hili la Corona, mimi kama Mtanzania Mzalendo nimeshiriki kikamilifu katika vita hii kikamilifu katika maeneo 5
  1. Kama Mtanzania tuu wa kawaida
  2. Kama Mwana jf
  3. Kama mwandishi wa habari mzoefu
  4. Kama mtangazaji wa TV Nguli
  5. Kama mtu mwenye exposure.
Hivyo kwenye hayo maendeleo 5 nimeshiri kwa kutoa maoni mbalimbali, miongoni mwake ni ule ushauri wangu wa mwanzo kuwa zipo wizara zinaweza kuongozwa na Waziri mwanasiasa yoyote, lakini kuna wizara zinazo deal na technical issues, zinapaswa kuongozwa na ma professionals. Moja ya wizara ya Afya, ilipaswa kuongozwa na daktari bingwa na sio a layman kwenye medical field.

Tulipoanza tuu ile siku Waziri wa Afya akiwa daktari Bingwa kwa jina la Janet akizungumzia kuvaa face mask, daktari huyo akiwa mbele ya Waziri wa Afya alisema face mask zitavaliwa na madaktari tuu wanaohudumia wagonjwa. Nikapandisha bandiko humu na kusema it's not right kwasababu kama inachukua siku 14 kuibaini Corona kwa aliyeambukizwa, how will one knows hivyo to be on a safe side ni watu wote wavae facemasks kama China. Waziri angekuwa daktari pale pale angejua.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

2. Mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya
Kuna siku nimezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile, kama ilivyo kawaida yangu, mimi huwa nina maswali magumu. Miongoni mwa maswali niliyomuuliza Dr. Ndugulile ni swali la kwa vile Corona haina dawa, jee anaweza kueleza hao wagonjwa kwenye vituo vya matibabu wanafanywa nini au wana hudumiwa huduma gani ili Watanzania wenye uwezo waweze kuwahudumia wagonjwa wao ambao hawajazidiwa ili kuzuia hospitali zisielemewe. Dr. Alinigomea!.

Kisha nikamuuliza kwa vile Corona ni mafua, kwanini Wizara ya Afya isihamasishe alternative medicine ya watu kujitibu ili wengine wamalizane nayo juu kwa juu bila kuisumbua serikali na kupelekwa vituo vya huduma?.

Pia swali hili alinigomea na kusisitiza kila mwenye dalili aripotiwe.

Kwa kutumia uzoefu wangu wa exposure, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile alikuwa ana majibu yote tena ya kidakitari, lakini kwa vile yeye sio Msemaji rasmi, Msemaji rasmi ni Waziri wake, na Waziri sio daktari, Dr. Ndugulile aliogopa kusema akapishana na Waziri wake, lakini Waziri wa Afya angekuwa ni daktari Bingwa, Dr. Ndugulile angezungumza.
Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums

3. Bingwa wa Kemia Aingilia Kati
Hayo maswali mawili magumu niliyo muuliza Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile ambayo yalitakiwa kujibiwa na madaktari Bingwa wa tiba, leo yamepatiwa majibu badala ya kupatiwa majibu na madaktari Bingwa wa tiba, kitu cha ajabu sana kuhusu mapambano dhidi ya janga la Corona nchini Tanzania, maswali hayo yamepatiwa majibu na Bingwa wa Kemia.

Tanzania tulizoea viongozi wetu wakuu wa kisiasa huwa ni wanasiasa, hivyo ulipo tokea Bingwa wa Kemia alipoutaka urais, kiukweli kuna watu humu tulimshangaa!, tangu lini Bingwa wa Kemia akawa kiongozi wa siasa kuwa mkuu wa nchi?.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

4. Bingwa wa Kemia Atoa Ushauri wa Kikemia
Lakini kwa mara ya kwanza katika urais wa Tanzania, leo ndio tumeona umuhimu wa kiongozi wa nchi anapokuwa ni Bingwa wa Kemia kuutumia ubingwa wake wa kemia kulisaidia taifa lake kwa ushauri wa Kikemia wa jinsi ya kutumia Kemia kupambana na janga la Corona.

Bingwa wa Kemia ametoa ushauri wa Kikemia kuwa vurusi vimeubwa kwa fat acid hivyo vinayeyushwa au kwa kunawa na maji tiririka, au sanitizers zenye alcohol ambazo zinawayeyusha au mvuke wa nyuzi joto kubwa.

Bingwa wa Kemia amewataka Watanzania kutumia tiba mbalimbali za asili na tiba mbadala kupambana na Corona kwa kunywa tangawizi, vitunguu swaumu, au hata kujifukiza, vitu ambavyo Watanzania walipaswa kufundishwa na madaktari Bingwa wa tiba, badala yake sasa ni Bingwa wa Kemia ndio amekuwa mkombozi wa taifa letu katika vita hii dhidi ya Corona.

Ushauri huu wa Bingwa wa Kemia ndio ukombozi wa Taifa letu dhidi ya janga la Corona, kwasababu naamini kuna wengi wameugua Corona na wakajitibia kwa njia za asili na tiba mbadala na wakapona, hivyo kama kila Mtanzania akiona tuu dalili kwa mbali akaanza na huduma ya kwanza ya homeopathy treatment kwa kutumia natural treatments na alternative medicine tunaweza kuliokoa taifa letu zaidi kuliko kuwategemea hawa madaktari Bingwa wetu wa tiba ambao ni mabubu huku mabingwa wa Kemia ndio wakilisaidia taifa!.

Mpaka hapa nilipofikia, bado kuna haja ya mimi kumtaja huyu bingwa wa Kemia?

Paskali
Mhubiri 4:13
Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo.
 
Tumsikilize mkemia jiwe au daktari bingwa sasa?!
 
Attachments

  • IMG-20200422-WA0065.jpg
    IMG-20200422-WA0065.jpg
    41.4 KB · Views: 1

Paskali!! IGP kapewa maagizo leo shauri yako
 
Paskali,
Hii thread yako inafurahisha sana kiukweli! Kwamba bingwa wa Kemia amegeuka kuwa Daktari Bingwa wa Covid-19!!!! Inachekesha sana na kufurahisha sana kama siyo kusikitisha....!!!

Epicentre ya Covid-19 ni WUHAN huko nchini China ambako kuna Maprofesa wa Kemia na Kemikali waliobobea. Je, unataka kuniambia kuwa hao Maprofesa na Madaktari wa Kemia hawakuliona au kulijua hili kuwa kumbe Virusi va Corona ni FUTA ambalo ukijifukiza na MVUKE WA MAJI UNAOTOKANA na Boiling Point ya 100 degree Celcius Kirusi kinayeyuka kama SIAGI YA KULIA BOFULO🤣🤣🤣!!!
Huu ni ugunduzi unaohitaji Nobel Prize!
 
Paskali,
Hii thread yako inafitahisha Sana kiukweli! Kwamba bingwa wa Kemia amegeuka kuwa Daktari Bingwa wa Covid-19!!!! Inachekesha Sana na kufurahisha kama siyo kusikitisha....!!!

Epicentre ya Covid-19 ni WUHAN huko nchini China ambako kuna Maprofesa wa Kemia na Kemikali waliobobea. Je, unataka kuniambia kuwa hao Maprofesa na Madaktari wa Kemia hawakuliona au kulijua hili kuwa kumbe Virusi va Corona ni FUTA ambalo ukijifukiza na MVUKE WA MAJI UNATOKANA na Boiling Point ya 100 degree Celcius Kirusi kinayeyuka kama SIAGI YA KULIA BOFULO🤣🤣🤣!!!
Huu ni ugunduzi unaohitaji Nobel Prize!
Jiwe anataka tujifukize kwa centigrade 100. Hivi anaijua vizuri? Anataka tuive kama mahindi..?!!
 
Bingwa wa kemia alionekana anakikohozi kikali Sana,kemia hapo haijawa applicable?

Hapa kila Mtz atumie akili yake tu
 
Nimejiuliza maswali haya 10 sijapata majibu... Atakaye nijibu vizuri nampa zawadi ...(maana wabongo ukiahidi zawadi utajibiwa mpaka uombe poo)
1.) Kama ni kupuliza hata China,France nk walipuliza japo hatujajua nidawa gani walipuliza... Je, wale ni wapumbafu?
2.) Kusema kuna mask zinaletwa zawezakuwa na virusi je, haitofanya wanaotusaidia kurudi nyuma? hiyo kazi zakudhibiti ni za polisi alioongea nao?
3.) Duniani sijaona rais anayepambana na mitandao,wote wanajielekeza zaidi kwenye udhibiti,vifaa tiba, kuokoa maisha na mwisho uchumi. Je wrote ni wapumbafu?
4.) Badala ya hamisha hamisha wizarani he,sio ingefaa maelekezo na majadiliano Mara kwa mara?
5.) Kuongea toka site yaani dar siyo bora na inaokoa pesa tunazolia hatuna kuliko kwenda kuongelea kijijini kwako nakutaka ufatwe na viongozi huko kwenu?
6.) Wafanyakazi wako wanakatwa mikopo ya mabank na bodi ya mikopo elimu ya juu kiasi wanaishi kishida nawe hujawasamehe unataka wa nchi za nje na WB wakusamehe wewe,ni logic hiyo?
7.) Watu wangapi wakifa itashtua? Kusema najua wamekufa kumi bila kutoa pole na kusikitika maana yake sio issue?
8.) Kila jambo tunatumia majeshi? Tetemeko,korosho,madaraja,maandamano,mitandao, sasa hata korona? Mbona Kenya Leo raid kakaa na waandishi? Marekani vilevile?
9.) Karantini zinafanyika kila nchi na zinaonesha mafanikio je,kuzipuuza nijambo la busara kisa nje pia kunawagonjwa?
10.) Hakuna vikao vya Mara kwa Mara na vya dharura Dodoma ama dar? Ukiwa kijijini ndipo utaweza kufuatilia janga hili kwa ukaribu? Au ikiwa hujaleta korona wewe na kwenye ilani hukuahidi korona basis hunahaja kuhangaika nayo sana?
Nayajibu yote kwa mpigo.
WEWE NI MCHOCHEZI.
Haya tuma zawadi yangu fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakumaanisha hivyo jamaa yangu! A!likuwa akiuelezea mvuke, na maana yake kiuhalisia!
Hivyo unawaza ni kiroboti! Maana roboti huwa halina akili yake bali kile kinacholishiwa kwalo tu! Samahani lakini kama nitakuwa nimekukwaza ndg!
Hebu tuweke Sawa ambao hatujaelewa mkuu
 
Back
Top Bottom