Ni sawa na pale watwawala vichaa nanapoendesha taifa.Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya akili. Duh, yaani, kwa kuwa huwezi kumshinda kwa hoja, basi unamtangaza kuwa ni 'kichaa.'?
Najiuliza: kama mtu ni kichaa kweli, kwa nini unasoma alichoandika? Kwa nini unajibu? Kwanini una-comment? Na kwa nini hoja zake zinakutikisa kiasi hicho hadi ukose cha kumjibu? Kama una akili timamu, je, si ungetambua mapema kwamba huwezi kushindana na mtu asiye na akili?
Mtume Paulo alinena vema:
“Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.”
(Warumi 1:22, BHN)
Elimu ni muhimu sana, lakini haitoshi kumfanya mtu awe na hekima ya kweli. Hekima ya kweli huanzia kwenye unyenyekevu na uwezo wa kusikiliza hata kile kinachotoka kwa mtu usiyemtarajia.
Dunia hii imejaa maajabu. Wakati mwingine, hoja zenye nguvu huja kutoka kwa watu waliodharauliwa!
Sema: "Amen"
kwahiyo wewe ni kichaa unayewashambulia PhDs?Sorry, mkuu. Kumbe nimezunguka mbuyu! Actually, nazungumzia hoja zangu mimi binafsi 🙂
Kambaku unataka Mungu anihurumie mara ngapi, mkuu?Mungu akuhurumie tu haki
Mimi sio kichaa, mkuu. Ila wenye "PhDs" wananiita kichaa!kwahiyo wewe ni kichaa unayewashambulia PhDs?
Chonde chonde, Bengal usimwite Mtawala kichaa.Ni sawa na pale watwawala vichaa nanapoendesha taifa.
Watwawala,au Watawala?Chonde chonde, Bengal usimwite Mtawala kichaa.
Tafadhali sana, jifunze kuwaheshimu Watawala na wenye Mamlaka.
1 Petro 2:17
“Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mheshimuni mfalme.”
Katika Andiko hilo, “mfalme” anawakilisha mtu aliye juu katika mamlaka, hivyo tunatakiwa kumheshimu.
Warumi 13:7
“Wapeni wote haki yao; mtu wa ushuru ushuru, mtu wa kodi kodi, mtu wa kuogopwa na aogopwe, mtu wa kuheshimiwa na aheshimiwe.”
Wape neno hao mama mtumishi.Kambaku unataka Mungu anihurumie mara ngapi, mkuu?
Mungu aliishanihurumia, akaniokoa!
Tito 3:5
Alituokoa si kwa sababu ya jambo lolote jema tulilotenda sisi, bali kwa sababu ya huruma yake, kwa njia ya Roho Mtakatifu anayetujalia tuzaliwe upya na kuwa na maisha mapya.
Kuna vyanzo viwili vya elimu:Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.