Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

Ukikosa Elimu usiwachukie Wenye Elimu.
Duh, inaonekana hujasoma uzi vizuri. Nimesema wapi ninawachukia wenye elimu?
Nimewa-challenge tu wanaojiona wana elimu ya juu, watumie elimu yao kujibu hoja zangu na sio kuporomosha matusi. Matusi yatawapeleka jehanam.
 
Hoja ipi weka mimi nina digrii wala sikutukani weka hiyo hoja yako nikujibu ki digrii ambayo nimeisonea kwa kukesha kusoma sio ya kupewa ya heshima ili nikujibu bila matusi wala nini

Lete hiyo hoja yako
 
Africa bado hatujajua namna gani yakuitumia Elimu kuleta matokeo baadala yake tunasoma tupate ajira tuendeshe maisha.
Elimu na watu walioenda shule na kusoma vizuri wanahitajika sana na sio hizi ramli zinazoendelea.
 
Search nyuzi zilizoandikwa na Setfree. Zipo nyingi sana zenye hoja nzito
Kwakweli nimetumia muda wangu mwingi ku search baadhi ya nyuzi zenye jina hilo nikitegemea kwamba labda ntakutana na taarifa yoyote mpya lakini nasikitika sijaona chochote kipya.

Labda nikushauri kitu bwana mleta mada. Naona wewe huenda ni mgeni humu jukwaani manake umejiunga tu mwaka jana. Kwa taarifa tu, hayo mambo unayoyaleta na kuyaita "hoja nzito" ni mambo ambayo humu jukwaani YALISHAJADILIWA SANA tangu miaka ya 2010 huko.. Na hata kabla ya hapo, mambo hayo hayo yamejadiliwa sana mitaani, magazetini, mitandaoni, kwenye mihadhara, watu wameandika mpaka vitabu, machapisho, nk juu ya mambo hayo.

Nadhani ndio maana kwa sasa ukianzisha mada yoyote inayohusu hayo masuala, watakaochangia labda ni wale wageni wenzio, lakini ni ngumu kidogo kwa wakongwe ambao wameshajadili suala hilo hilo humu kwa zaidi ya miaka 10 kurudi tena kuanza kulijadili UNLESS kuwe kuna taarifa mpya au ushahidi mpya ambao unahitaji mjadala mpya. Ndio maana nadhani umeona watu wengi wamekua "tagged" kwenye nyuzi zako ila hawaji, sio kwamba hawazioni, ni kwamba tu watu wameshaona hakuna jipya ni kupoteza muda tu kujadili marudio.

Asante.
 
Pole kama walikuumiza kwa kukuita kichaa...huku kumejaa fujo sana..lakini cha kukushauri mtu akikuboa unamjibu na wewe hapo hapo onspot..hii inasaidiaga sana tukiondoka tunayaacha humuhumu kuliko kuwa resentful au kuwa confused kwa nini mtu anakuita names.
 
Kwakweli nimetumia muda wangu mwingi ku search baadhi ya nyuzi zenye jina hilo nikitegemea kwamba labda ntakutana na taarifa yoyote mpya lakini nasikitika sijaona chochote kipya.

Labda nikushauri kitu bwana mleta mada. Naona wewe huenda ni mgeni humu jukwaani manake umejiunga tu mwaka jana. Kwa taarifa tu, hayo mambo unayoyaleta na kuyaita "hoja nzito" ni mambo ambayo humu jukwaani YALISHAJADILIWA SANA tangu miaka ya 2010 huko.. Na hata kabla ya hapo, mambo hayo hayo yamejadiliwa sana mitaani, magazetini, mitandaoni, kwenye mihadhara, watu wameandika mpaka vitabu, machapisho, nk juu ya mambo hayo.

Nadhani ndio maana kwa sasa ukianzisha mada yoyote inayohusu hayo masuala, watakaochangia labda ni wale wageni wenzio, lakini ni ngumu kidogo kwa wakongwe ambao wameshajadili suala hilo hilo humu kwa zaidi ya miaka 10 kurudi tena kuanza kulijadili UNLESS kuwe kuna taarifa mpya au ushahidi mpya ambao unahitaji mjadala mpya. Ndio maana nadhani umeona watu wengi wamekua "tagged" kwenye nyuzi zako ila hawaji, sio kwamba hawazioni, ni kwamba tu watu wameshaona hakuna jipya ni kupoteza muda tu kujadili marudio.

Asante.
Wewe unayejiita mkongwe, mbona hujajua kwamba JF ni database-driven website? Ukiandika uzi(kabla ya ku-post)kama umeishajadiliwa huko nyuma zinajitokeza thread titles that have been/are being discussed. Ukipost uzi ambao umeishajadiliwa mods/content managers wanauunga kwenye uzi uliopostiwa kabla yako.

Isitoshe, mada inaweza kuwa imejadiliwa lakini walioijadili wakaishia hewani bila kuwa na conclusion. Au wakaijadili kwa angle tofauti. Kabla ya kupost nyuzi zangu naangalia yote hayo.

Halafu inakuwaje unatumia muda mwingi ku-search baadhi tu ya nyuzi zangu wakati kuna namna rahisi ya kuona list ya nyuzi zote nilizoandika? Unajisifu bure kuwa ni mkongwe humu lakini bado ni mgeni katika mambo mengi yahusuyo functions/features za JF. Kutangulia sio kufika, mkuu.

Anyway, point kubwa ya uzi huu ni kuwa-challange hao wanaofungua nyuzi zangu kisha wana-comment "mental health problem."

How comes mtu mwenye mental health problem anaandika title inayokuvutia wewe mwenye PhD mpaka unaifungua?? Kama sio maajabu ya dunia hayo ni nini? Ila nimegundua tu kwamba hoja zangu ninayeitwa kichaa ni "fire." Kuzijadili inabidi ujipange sawasawa. Ndio sababu hao PhD holders wakikosa points za kuchangia wanaishia kusema: mental health problem. Nadhani mpaka hapo umenipata, mkuu. Ubarikiwe sana. Asante.
 
Chonde chonde, Bengal usimwite Mtawala kichaa.
Tafadhali sana, jifunze kuwaheshimu Watawala na wenye Mamlaka.
1 Petro 2:17
“Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mheshimuni mfalme.”
Katika Andiko hilo, “mfalme” anawakilisha mtu aliye juu katika mamlaka, hivyo tunatakiwa kumheshimu.

Warumi 13:7
“Wapeni wote haki yao; mtu wa ushuru ushuru, mtu wa kodi kodi, mtu wa kuogopwa na aogopwe, mtu wa kuheshimiwa na aheshimiwe.”
Methali 28:16 (Biblia Habari Njema - BHN):

“Mtawala asiye na akili hudhulumu watu wake kwa ukatili; lakini yule achukiaye faida haramu ataishi muda mrefu.”
 
Wewe unayejiita mkongwe, mbona hujajua kwamba JF ni database-driven website? Ukiandika uzi(kabla ya ku-post)kama umeishajadiliwa huko nyuma zinajitokeza thread titles that have been/are being discussed. Ukipost uzi ambao umeishajadiliwa mods/content managers wanauunga kwenye uzi uliopostiwa kabla yako.

Isitoshe, mada inaweza kuwa imejadiliwa lakini walioijadili wakaishia hewani bila kuwa na conclusion. Au wakaijadili kwa angle tofauti. Kabla ya kupost nyuzi zangu naangalia yote hayo.

Halafu inakuwaje unatumia muda mwingi ku-search baadhi tu ya nyuzi zangu wakati kuna namna rahisi ya kuona list ya nyuzi zote nilizoandika? Unajisifu bure kuwa ni mkongwe humu lakini bado ni mgeni katika mambo mengi yahusuyo functions/features za JF. Kutangulia sio kufika, mkuu.

Anyway, point kubwa ya uzi huu ni kuwa-challange hao wanaofungua nyuzi zangu kisha wana-comment "mental health problem."

How comes mtu mwenye mental health problem anaandika title inayokuvutia wewe mwenye PhD mpaka unaifungua?? Kama sio maajabu ya dunia hayo ni nini? Ila nimegundua tu kwamba hoja zangu ninayeitwa kichaa ni "fire." Kuzijadili inabidi ujipange sawasawa. Ndio sababu hao PhD holders wakikosa points za kuchangia wanaishia kusema: mental health problem. Nadhani mpaka hapo umenipata, mkuu. Ubarikiwe sana. Asante.
Sorry mkuu, naomba nikuulize maswali machache ya ufahamu:

1. Kwa uelewa wako, kuna jinsi yoyote ya kujadili suala la IMANI au mambo yanayohusu MUNGU na ukafikia CONCLUSION?

2. Lengo lako hasa la kuanzisha mijadala unayoianzisha ni nini. Je, ni KUJIFUNZA, KUELIMISHA, KUSHINDA au ku CHALLENGE PhD holders?

Asante
 
Back
Top Bottom