Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

Maajabu ya dunia hayaishi: Vichaa wamewabana kwa hoja wasomi wenye Masters na PhDs!

Kuna vyanzo viwili vya elimu:
1: Formal/mfumo rasmi
Huu ni mfumo wa madarasa na walimu walioanishwa. Unapofaulu mitihani ya mfumo huu, haikuhakikishii kuyaaksi yayofundishwa kwako. Pamoja na kuyaaksi uanapofanikiwa si sababu ya msingi kuona elimu isiyo ya mfumo rasmi haifai.

3: Informal/mfumo usio rasmi wa elimu.
Huu ni mfumo unaotokana na mazingira yanayokuzunguka pamoja na watu wake.
Mitihani unayokutana nayo huweza kujifunza zaidi ili kuweza kuutawala ulimwengu. Ukiwa mwanafunzi mzuri utakujenga vyema pia. Si sababu ya kudharau mfumo rasmi kama umefanikiwa kwa mfumo huu.

Mifumo yote miwili ni muhimu ili kuwa na balansi kwenye kutawala maisha yetu kwa kutanabaisha kipi kitumike wapi na kwa namna gani. Ubora wa kipi kitumike wapi hutegemea ni nini unahitaji kukifanya na pia kinahitaji nini.

Hivyo, twahitaji elimu za aina zote mbili ili kuitawala dunia kwa ulinganifu. Ingawa wenye elimu rasmi wanaonekana kuwa wenye ubora kwa kadri ya taratibu zetu za maisha. ILA, kwangu mimi inategemea uko wapi na unatekeleza nini. Mchanganyiko wa vyote na kutanabaisha kioi kinatumika wapi ndo tiba halisi. Wito wangu, tuzingatie na kuheshimu vyote.
Mkuu, kwa conclusion yako hiyo inaonekana hujaelewa lengo la uzi. Lengo sio kudharau wenye PhDs. Lengo ni kuwahimiza watumie elimu yao kujibu hoja badala ya kutoa comments za matusi.
 
Mkuu, kwa conclusion yako hiyo inaonekana hujaelewa lengo la uzi. Lengo sio kudharau wenye PhDs. Lengo ni kuwahimiza watumie elimu yao kujibu hoja badala ya kutoa comments za matusi.
Atafanya hivyo atakapokuwa anajua thamani ya informal education na aliye na hiyo elimu pia.
 
Atafanya hivyo atakapokuwa anajua thamani ya informal education na aliye na hiyo elimu pia.
Sawa kabisa. Ila ni ajabu mtu ufikie level ya PhD halafu hujui thamani ya informal ed!
 
💯

...kumbeeee, huwa unanisoma😉🔥

...ila sidhani kama wana Masters au P hech Di

...mtu mwenye Master ama PHD hawezi kuja na hoja Eti anakuweka kwenye Ignore list🙌🏾 au anasema una matatizo ya akili... badala ya kujibu hoja

...huo ninl utoto ukifuatiliwa na U terroristi wa mtandaoni, cyber bullying medieval bullshit🔥😂😂😂😂😂😂😂


mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya akili.
 
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.
1. Hizo hoja zinahusu nini?
Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya akili. Duh, yaani, kwa kuwa huwezi kumshinda kwa hoja, basi unamtangaza kuwa ni 'kichaa.'?
2. Lengo la hizo "hoja" ni kushindana au kutafuta uelewa zaidi?
 
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.

Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya akili. Duh, yaani, kwa kuwa huwezi kumshinda kwa hoja, basi unamtangaza kuwa ni 'kichaa.'?

Najiuliza: kama mtu ni kichaa kweli, kwa nini unasoma alichoandika? Kwa nini unajibu? Kwanini una-comment? Na kwa nini hoja zake zinakutikisa kiasi hicho hadi ukose cha kumjibu? Kama una akili timamu, je, si ungetambua mapema kwamba huwezi kushindana na mtu asiye na akili?

Mtume Paulo alinena vema:
“Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.”
(Warumi 1:22, BHN)

Elimu ni muhimu sana, lakini haitoshi kumfanya mtu awe na hekima ya kweli. Hekima ya kweli huanzia kwenye unyenyekevu na uwezo wa kusikiliza hata kile kinachotoka kwa mtu usiyemtarajia.

Dunia hii imejaa maajabu. Wakati mwingine, hoja zenye nguvu huja kutoka kwa watu waliodharauliwa!

Sema: "Amen"
Ccm inapenda kutawala vilaza kama wewe ,ignorant slaves that can be easily ruled and manipulated ,kicked around and stampled on like a toilet paper .
 
Ukitaka kuua na kutawala kirahisi jamii kwa kutengeneza tawala la watumwa wajinga basi dunisha na kutukana elimu ,hicho ccm wamefanikiwa na result ndio products kama ya mtoa mada ,huyu Kiazi
 
Pitia threads zangu zote uone zinahusu nini halafu hesabu comments za waliosema: "mental health problems" 🙂
Duuh yaani nianze kupitia thread zako zote na kuhesabu comments🙄
 
Tanzania ndio nchi la saba b failure anamtukana PhD holder au degree holder , level ya upumbavu WA hali ya juu kabisa
 
Upumbavu huu huukuti nchi nyingine tofauti na shithole country TANZANIA
 
Mimi sio kichaa, mkuu. Ila wenye "PhDs" wananiita kichaa!
Ndo nashangaa, inakuwaje mimi kichaa nawabana kwa hoja wasomi hao, wanashindwa kujibu hoja zangu wanaishia kusema nina mental health problem?!
Anyway, maajabu ya dunia hayaishi🙂
Usipuuze,wangekuwq wamekuita wanasiihasa ungepuuza ,au upuuze ila ikiwa ntu tofauti na mwana siasa fikiri tano kabla ya kufanya uamuzi wa kupuuza.
 
Tanzania ndio nchi la saba b failure anamtukana PhD holder au degree holder , level ya upumbavu WA hali ya juu kabisa
Kwa tabia za kiafrika,Kitanzania na sii hasa uchwara wakati mingine ni haki yao
 
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.

Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya akili. Duh, yaani, kwa kuwa huwezi kumshinda kwa hoja, basi unamtangaza kuwa ni 'kichaa.'?

Najiuliza: kama mtu ni kichaa kweli, kwa nini unasoma alichoandika? Kwa nini unajibu? Kwanini una-comment? Na kwa nini hoja zake zinakutikisa kiasi hicho hadi ukose cha kumjibu? Kama una akili timamu, je, si ungetambua mapema kwamba huwezi kushindana na mtu asiye na akili?

Mtume Paulo alinena vema:
“Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.”
(Warumi 1:22, BHN)

Elimu ni muhimu sana, lakini haitoshi kumfanya mtu awe na hekima ya kweli. Hekima ya kweli huanzia kwenye unyenyekevu na uwezo wa kusikiliza hata kile kinachotoka kwa mtu usiyemtarajia.

Dunia hii imejaa maajabu. Wakati mwingine, hoja zenye nguvu huja kutoka kwa watu waliodharauliwa!

Sema: "Amen"
Mimi nina digrii hoja yako ipi labda wenye digrii tulioshindwa kujibu? Weka hapa
 
Back
Top Bottom