Mkuu.mim ni jpm dam dam.lakin kwa hapa nmeona umekwama.kwahyo gwajima unamwona ni mkwel pasi na mtoa mada kudadavua kilichopo.dahWapinzani bwana hamna hoja kabisa
Wewe umejilidhisha wapi kuwa ni kweli Gwajima kasema hayo maneno?Mkuu.mim ni jpm dam dam.lakin kwa hapa nmeona umekwama.kwahyo gwajima unamwona ni mkwel pasi na mtoa mada kudadavua kilichopo.dah
Ccm tusiwe hiv..ndiomana wanatuita makondoo sabab ya kusapot hata palipo na hamna
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Wapinzani bwana hamna hoja kabisa
Na hilo ndio lengo kuu la chama chochote kile cha siasa.Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Na hilo ndio lengo kuu la chama chochote kile cha siasa.
Wasukuma wa huko sio watu,Hivi kweli mwanadamu mwenye akili timamu kabisa na mwenye Roho wa Mungu, unaweza kumwamini Gwajima?
Huyu ni tapeli wa daraja la juu ambaye ameamua kuwatapeli watu kupitia imani. Ukiweza kumhadaa mtu kiimani, basi huyo ni mateka wako.
Gwajima ambaye hajawahi hata kujenga zahanati, alisema atanunua treni kwaajili ya Tanzania? Sijui pale Ikilomije kuna shetani gani maana inaonekana ni kijiji kilichowahi kutoa watu wa ajabu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanyawapi kazi kama sio kanisaniYeye kasema atajenga kwa hela yake binafsi wewe unaanza kuleta hesabu za sadaka. Kuwa na amani na matumizi ya sadaka yako mkuu
Kwaiyo kama anafanya kazi kanisani?Anafanyawapi kazi kama sio kanisani
Mumu nadhani waliompa hio nafasi wanaeleweka kirahisi tu. Nafikiri wanataka kutuambia kwao ushindi hautokani na sanduku la kuraGwajima anaeleweka .
Wasioeleweka ni waliompa hiyo nafasi
Na hapa ndipo inashangaza. Hivi kapewa nafasi kwa kigezo gani?Gwajima anaeleweka .
Wasioeleweka ni waliompa hiyo nafasi
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787]Mzee wa filamu pendwa
[emoji115] that's point [emoji122][emoji122][emoji122]Gwajima anaeleweka .
Wasioeleweka ni waliompa hiyo nafasi
Na waliokufa akawafufua!Acha upotoshaji. Huyu Bishop. Gwajima kwenye Corona alisimama mstari wa mbele kabisa kuhimiza maombi. Huyu mtu anafaa kuwa mbunge.
Haya ww mwenye hoja, lete hoja kuhusu gwajima!Wapinzani bwana hamna hoja kabisa
Ndugu hili jitu jiongo, linajari kumdanganya hata Mungu, ataona aibu kulaghai Raisi na wananchi wake. Dawa yake ni tuendelee kuwaelimisha wananchi haswa ndugu zetu wa kikristo wasomi na wale wote wenye busara, wasimpigie kura, wasimsikilize, tunajua kuna campaign kubwa inayofanywa na vijana wa Kiislamu, kumnyima kura Gwaji Boy na kumrudisha Halima.Wana JF,
Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi.
Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije tukauuziwa mbuzi kwenye gunia.
Hakuna mahali tapeli amewahi kuwa mkweli hata kwa kwake mwenyewe