mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
- #141
wale waumini hawana hata ndala yeye anatembelea mavoguem anadai kununua ndege na kutengenneza chuo cha kufundisha ndegeKwenye ndimi za baadhi ya wachungaji/maaskofu kuna kilevi kikali cha waumini wakinywa hicho hubaki maze zeta kabsaaa!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app