Wanashindwa kuelewa kila mtu hapa duniani yupo kwaajili ya kutafutia tumbo, hata huyo Lissu Sasa anaonekana mpinzani halisi kwakua ana matumaini ya Urais, Ila ikitokea kaukosa, na asione masilahi yoyote ndani ya Chadema kwa Miaka 10 ijayo, si ajabu akaunga juhudi.Ungemalizia kabisa ili manyumbu yafuatayo:
"Hata Lissu mwenyewe ni CCM na jiwe amepanga kumpa kakazi kadogo baada ya uchaguzi."
Yatakuwa yamestuka. Hata ka like kidogo yamekunyima? Kwamba ukweli hayaujui?
Ni njaa tu ndiyo ufahamu wote inayatoa.
Kabla jogoo hajawika Yesu alimtabiria mtu kuwa utanikana Mara tatu ila pamoja nakukana haijazuia ukombozi hivyo acha kijana ajitafutie ugaliMabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu aliponusurika kuawa. Je, ni Kwamba amesahau tukio lile au aligundua kuwa hatua ile ilikuwa halali?
Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
View attachment 1575679
Ama kweli nani alijua kuwa petro katawi alikuwa afisa kipenyo wa daraja fulani huko?
Ama kweli staajabu ya Mussa!
Huenda Mungu asiwe na ushirika na Magufuli kwakile mnachodai kuwa Ni muuaji, lakini pia aiwe na ushirika na wewe kwa mmbo kengine madogomadogo, hivyo basi, achana na kazi ya kutoa hukumu.
Jamaa yetu huyo! Endelea kupiga kelele jukwaani kamanda ila huku chini kama kawa.Mabibi na mabwana, heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Wahenga walisema staajabu ya Mussa lakini siyo ya Firauni.
Kwa kweli binadamu tuko tofauti. Huyu bwana alikuwapo siku Mh. Lissu aliponusurika kuawa. Je, ni Kwamba amesahau tukio lile au aligundua kuwa hatua ile ilikuwa halali?
Je, huyu si ndiye aliyemtuhumu jiwe kununua wabunge?
View attachment 1575679
Ama kweli nani alijua kuwa petro katawi alikuwa afisa kipenyo wa daraja fulani huko?
Ama kweli staajabu ya Mussa!
Ndio maana nchi za wenzetu huko dunian, wameamua kuweka siasa pembeni na kupiga kazi tu.hawa wanasiasa sio watu wazuri kabisa..hako ka Nassari kameahidiwa ukuu wa mkoa ndio maana kanajitoa ufahamu
Jamaa yetu huyo! Endelea kupiga kelele jukwaani kamanda ila huku chini kama kawa.
Jamaa yetu huyo!
Mbowe kinachomgharimu in mwanasisa mstaarabu sana.
Mkuu Arusha ipi unayoizungumzia ndo hii hiiHUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
Hakuna makosa madogomadogo Kwa MUNGU, wapo watu ambao hawajaua, hawajatesa na pengine hawana hata mpango kabisa, lakini hiyo haiwafanyi kuwa watakatifu, na motoni wataenda kwa makosa mengine (hayo unayoyaita madogomadogo😂)Heri asiwe na ushirika na mimi au na wengine kwa mambo madogo madogo. Lakini kwa makubwa ya kuuwa, kuteka na kutesa, that is out of proportions.
Hata duniani pana makosa madogo na makubwa.
Kwa hapa nchini tu kuuwa, kuteka na kutesa kwa kukusudia adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa.
Usiyafanye kuuwa, kuteka, kutesa kuwa ni sawa sawa au halali kwa ubinafsi wako tu ati kwa kuwa hayajakukuta.
Jiweke katika nafasi ya wapenda haki na wapenda uhuru.
Jiweke katika nafasi ya waathirika wa moja kwa moja wa asiyokuwa na taabu nayo jiwe. Jiweke kwenye nafasi ya Lissu, jamaa wa Lissu, Azory, Ben na waliopotea au kufa kwenye mazingira haya.
Ungemshangilia wewe jiwe kwenye haya?
Sasa hivi ni wakati wake wa hukumu kwa kura. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.
Atavuna alichopanda.
Kwani Kuna Arusha nyingine wapi?Mkuu Arusha ipi unayoizungumzia ndo hii hii
Kaloleni
Kimandolu
Njiro
Sombetini
Mbauda
Moshono
Kijenge
Sokoni one
Themi
Kilombero
Mjini Kati
Ilboru
Daraja mbili
Kwamorombo
Sanawari
Matejo
Chekereni
Baraaa
Ama ni Arusha ipi hyo[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Ndio ujue maendeleo hayaji kwa sababu kama hz za kutanguliza tumbo mbele.Wanashindwa kuelewa kila mtu hapa duniani yupo kwaajili ya kutafutia tumbo, hata huyo Lissu Sasa anaonekana mpinzani halisi kwakua ana matumaini ya Urais, Ila ikitokea kaukosa, na asione masilahi yoyote ndani ya Chadema kwa Miaka 10 ijayo, si ajabu akaunga juhudi.
Ulitaka aseme shetani hoyeee?Yupo anayefanya sarakasi kuliko Magufuli?
Hajali maisha ya kina Azory, Ben, Lissu na wengi wa kwenye viroba?!
Anathubutu kutamka:
Mungu hoyeeeee? Na yuko vizuri tu? Ila macho yenu kwa Mbowe tu?
Ama kweli "ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni!"
Na ndiomaana nchi hii haitawaliwi na Rais mmoja tangu ipate Uhuru.Ndio ujue maendeleo hayaji kwa sababu kama hz za kutanguliza tumbo mbele.
Watu wenye uwezo wa mawazo ya kujenga wanapopigwa risasi, kutekwa na hata kuuliwa na mtu anayeangalia chama badala ya TAIFA huyo hatufai.
Huwezi kuongoza hadi milele kwa hiyo lazima watakaopokea kijiti wawepo na sio tu wapewe ila je wanauwezo au kutumia nguvu
Ndo kwisha habarii yenuuu, mwambieni jamaaa yenu arudi kwao moshii, awaache wanaarusha wajiongozee
Yaani mtu miHUYU KIJANA AMEIFUTA CHADEMA RASMI HUKO ARUSHA.
TULIENI SINDANO IWAINGIEE. NASARI ANAWASIGINA VIZURIII.
Mkuu hapo lumumba mmesha pewa ela ya bando?Sijasema namuamini Magufuli. Nimesema mimi kama mimi Mbowe sina imani nae, 2015 alifanya sarakasi, mwaka huu anafanya sarakasi. Kaa utafakari.