Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni CCM Arusha, Joshua Nassari aubamiza Upinzani

Vipi unataka nikupe hela ukanywe chai?

Yaonesha umedamkia Lumumba. Komaa hapo hapo ndipo maisha yalipo.

Hata ukifanyaw vibaya alimradi mkono unakwenda kinywani.
 
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini. Tafakari, ndio maana mimi hata Mbowe sina imani naye kabisa.
Sidhani kama ni vema sasa kumuamini Lissu mana alimvua nguo Lowasa kisha yeye mwenyewe akamsafisha

Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough
 
Kijana ataishia kuwa wa kulialia kama Lijua.
 
hao ndo wanasiasa wa africa, wengi wao wapo kwa maslahi binafsi na si maslahi ya taifa.
 
Sidhani kama ni vema sasa kumuamini Lissu mana alimvua nguo Lowasa kisha yeye mwenyewe akamsafisha

Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough

Kuna mwingine kafanya wengine vilema, wengine wakiwa na wengine wajane.

Nadhani heri wa kumvua nguo fisadi kuliko huyu aliyeleta vilio na maumivu ya kudumu ya mwili pasipo na uhalali wowote.

Kusema "no!" kwa katili huyu hiyo ni wajibu wa kila mpenda haki na uhuru wa watu na hasa kila aliye mzalendo wa kweli.

Watanzania tuseme inatosha kuonekana mang'ombe it's enough.
 

Joshua Nassari ni khanithi wa kisiasa. Mpumbavu na asiyejitambua. Mtoto si riziki.
 
Wazamani tumemchoka na ngonjera zakee, tunamtaka gambo ili heshima ya arusha irudiii.

Wewe na jiwe, bashiri, mboga, mpole mpole na katawi? Kwa kweli mmechoka Ila hamtuzidi tulivyowachoka nyie na hasa jiwe na mboga mboga.
 
Baada ya kuachwa na galie la CCM, ameamua kujitafutia uteuzi hata wa uDas au ukuu wa wilaya.
 

Wewe paroko wa msikiti gani? Au ni jirani tu hapa kwa mtoro nije kupata neno la wokovu kutoka kwako?
 
Daah! Kweli dar kubwa!
 
Jamaa yetu huyo! Endelea kupiga kelele jukwaani kamanda ila huku chini kama kawa.

Jamaa yetu huyo!

Kwani kwa kupalilia buku 7 mnaweza acha kuimba mapambio ya kusifu? Kwani isipokuwa hivyo mtamudu kuiona milango ta misala?

Hata hivyo 'nota bene' zama ni tofauti sana leo. Kama mnamawazo ya kukwiba uchaguzi, kuna mtu mtamponza.
 
Siajabu akasema hata mbwa wake hakuuawa kwa kupigwa risasi, huwezi ukatoka upinzani ukahamia CCM kichwa kikaendelea kuwa salama,lazima kichwa kipate mawenge wenge.

..Nassari na Lijualikali wamekosea timing ya kujiuza kwa CCM.

..na wanavyozidisha vituko ndivyo wanavyozidi kuwafanya CCM wakose imani nao.

..matokeo ya kura za maoni walizopigiwa ndani ya CCM yalituma ujumbe kwamba wanatakiwa wajitafakari.

..I dont think they understood the message.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…