Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..ITV wametangaza hii?..Je, Mwigulu ameamua kujilipua kivyakevyake?
..au hali ya kampeni imekuwa ngumu wameamua kutumia silaha za maangamizi?
..Na TL akienda jimboni kwa Mwigulu atasema nini?
ukiongea uongo wa wazi hadhira huwa ina duwaaHuyu kweli anawahutubia hao watu au nakosea. Mbona wanaonekana kama wameduwaa wakijiuliza huyu takataka anasema nini? Walivyotulia utadhani huyu mwizi wa majina anayahutubia mawe...
Mjinga huyu Mwigulu. Akakojoe alale. Anamfitini Msingida mwenzake kwa sababu la kulinda tumbo lake. Ama kweli ndevu si akili wala si kipimo cha busara.Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada...
Umeandika UTOPOLO
Mtu anakuwaje taabani kwa kunusurika kipigo?
Alipo huyu misiba atakuwa makopo yote hadi ya majalalani kamaliza.
"Buku saba" wamekata pumzi wanaandika senteso zenye maneno mawili yasioelewaka kama ni matusi au ni sifaUmeandika UTOPOLO
yeye hakuwapo hapo wala hakubeba bango
Ana ripoti tu kwa mahaba yake..
Sorry kama imekuboa mkuu...
Viva Magu 2020 to 2030
..ITV wametangaza hii?
..Je, Mwigulu ameamua kujilipua kivyakevyake?
..au hali ya kampeni imekuwa ngumu wameamua kutumia silaha za maangamizi?
..Na TL akienda jimboni kwa Mwigulu atasema nini?
Umejuaje kama hakuwapo hapo au wewe ndiye misiba? Au labda ni mkewe? Au ni nyumba ndogo?
katika hapo hakuna tusi hata moja.
Koz yote yanawezekana....
CCM imefikia kiwango inaogopa kivuli chake chenyewe. Kwa hiyo sasa, badala ya kujishika na MBO wameamua kukumbatia MBWA.Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma...
Sijachunguza wala Sina haja kuchunguza ila nakushangaa wewe mwenye uhakika kuwa misiba hakuwapo hapo.
Hicho wanaita ni ki forward forward ndiyo maana nikakuuliza uhakika wako ni upi kuwa huyo pimbi hakuwa hapo?