Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

Uchaguzi 2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.

Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.

Sikia mheshimiwa huyu





Ninawasilisha.
 
ITV wametangaza hii?

Je, Mwigulu ameamua kujilipua kivyakevyake?

Au hali ya kampeni imekuwa ngumu wameamua kutumia silaha za maangamizi?

Na Tundu Lissu akienda jimboni kwa Mwigulu atasema nini?
 
..ITV wametangaza hii?..Je, Mwigulu ameamua kujilipua kivyakevyake?
..au hali ya kampeni imekuwa ngumu wameamua kutumia silaha za maangamizi?
..Na TL akienda jimboni kwa Mwigulu atasema nini?

Huyu kweli anawahutubia hao watu au nakosea. Mbona wanaonekana kama wameduwaa wakijiuliza huyu takataka anasema nini? Walivyotulia utadhani huyu mwizi wa majina anayahutubia mawe.

Tazameni Mh. Tundu Lissu akiongea na Watanzania, unaona kabisa umati unavyoitikia kwa shamra shamra na vigelegele tele.

Huyu aombe Mh. Tundu Lissu asikanyage Itigi.
 
yeye hakuwapo hapo wala hakubeba bango

Ana ripoti tu kwa mahaba yake..

Sorry kama imekuboa mkuu...

Viva Magu 2020 to 2030
Mtu anakuwaje taabani kwa kunusurika kipigo?

Alipo huyu misiba atakuwa makopo yote hadi ya majalalani kamaliza.
 
yeye hakuwapo hapo wala hakubeba bango

Ana ripoti tu kwa mahaba yake..

Sorry kama imekuboa mkuu...

Viva Magu 2020 to 2030

Umejuaje kama hakuwapo hapo au wewe ndiye misiba? Au labda ni mkewe? Au ni nyumba ndogo?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
..ITV wametangaza hii?

..Je, Mwigulu ameamua kujilipua kivyakevyake?

..au hali ya kampeni imekuwa ngumu wameamua kutumia silaha za maangamizi?

..Na TL akienda jimboni kwa Mwigulu atasema nini?

Hiki ITV walithubutu kurusha vipi ambavyo hawakurusha?

Halafu tuna tume inashinda kuudhibiti upinzani kwa kila hali.
 
katika hapo hakuna tusi hata moja...
Koz yote yanawezekana...

Unayechunguza una uhusiano nae gani?
najua Musiba mwanaume nawewe mwanaume pia...[emoji2957][emoji2957]

Viva Magu 2020 to 2030
Umejuaje kama hakuwapo hapo au wewe ndiye misiba? Au labda ni mkewe? Au ni nyumba ndogo?
 
katika hapo hakuna tusi hata moja.

Koz yote yanawezekana....

Sijachunguza wala Sina haja ya kuchunguza ila nakushangaa wewe mwenye uhakika kuwa misiba hakuwapo hapo.

Hicho wanaita ni ki forward forward ndiyo maana nikakuuliza uhakika wako ni upi kuwa huyo pimbi hakuwa hapo?
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.

Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma...
CCM imefikia kiwango inaogopa kivuli chake chenyewe. Kwa hiyo sasa, badala ya kujishika na MBO wameamua kukumbatia MBWA.

MBO is acronym for Management By Objectives, while MBWA is Management By Walking Around.
 
my bad.... nilidhani mna uhusiano usiofaa[emoji3]
u good my brother

Viva Magu 2020 to 2030
Sijachunguza wala Sina haja kuchunguza ila nakushangaa wewe mwenye uhakika kuwa misiba hakuwapo hapo.

Hicho wanaita ni ki forward forward ndiyo maana nikakuuliza uhakika wako ni upi kuwa huyo pimbi hakuwa hapo?
 
Back
Top Bottom