Maajabu ya mwanamke

2). Kila mwanamke anaamini kwamba mwanaume ndio anaanza kufa kuliko yeye.
Ni kweli kabisa, ukitaka kuthibitisha hii mwambie tuuze nyumba yetu tununue gari, atakuambia "we!!!! ...halafu wewe ukifa mimi na watoto tutakaa wapi?" Namaliza kunukuu
 
Mwanaume anaweza kukaa hata siku 3-4 hata wiki bila kuoga lakin kwa mwanamke hicho hakipo.
Kule nyanda za baridi kali wanakata mwezi hala havundi
 
Mimi sijui sana kuhusu haya yaliyoandikwa hapo juu. Lakini ninachokifahamuni kuwa mwanamke ni injini inayohitaji uangalifu mno

Ukiingia kichwakichwa inakutafuna unakwenda
 
Hiyo namba 13 kuna mmoja nilimsikia anamwambia mwenzake kipindi ana ujauzito ilikuwa mkojo unatoka tu hawezi kuuzuia hata kidogo [emoji1787][emoji1787]
 
Nyongeza:
Mwanamke ana uwezo na ujasiri wa kupiga stori na shetani na akaja kumshirikisha na mwenza wake stori walizopiga na shetani halafu asione kama kuna tatizo lolote. Sasa hivi wanapiga stori na mitume na manabii wa uongo na wanawashawishi wenza wao kufuata maelekezo ya utapeli ya manabii wa uongo.
Rejea stori ya Hawa na Adamu kwenye Biblia.
 
Wanawake si wanaroga wanaume mimi kwenye mambo ya mapenzi siwalaumu baadhi ya wanaume maana sidhani kama wanafanya kwa kupenda asilimia kubwa ya wanawake wanaroga tena hasa akijua mwanaume ameoa ili amsahau mke wake mwanaume mpaka ameoa ujue amesarenda ila vimada wanashinda kwa sangoma hela zote zije kwake kabla hajaenda kwa mkewe.
 
Sasa mwanaume unaruhusu mwanamke akuroge, si mnawaruhusu wenyewe
 
usisahahu mwnamke ndo kiumbe pekee anaechongnisha wtt na baba wasipendane apendwe yy tu"
 
sawa umefikiria na mama yako hawez bana mkojo?.
umefikiria na mama yako level ya kujiamini anazidiwa na mtoto wa kiume wa darasa la sita?
Huwezi elewa,..don't take it personal.

Nikupe mfano mm mwnyw, nikiwa primary kuna Siku nakumbuka nilikuwa navuka barabara mitaa ya Mnazi mmoja, kuna mama mtu mzima tu alikuwa karibu yangu nilimkuta anataka kuvuka akaniomba nivuke nae.
 
Hili lilikuwa limekubalika zamani sio sasaivi. Wanawake waliotelekeza watoto na familia zao kwaajili ya pesa mbona wapo na ilishaanza kutokea kwa muda sasa. Wapo walioacha watoto ili waolewe, wapo walioacha familia kabisa kwaajili ya mali na wengine wengi. Times have changed mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…