Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea!
Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi!
Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa tisa iliyotoka wale walioongezewa mwezi uliopita wamenyang’anyw lile ongezeko na hata wale ambao hawakuongezewa hawajaongezewa chochote pia!!!
Vyama vya wafanyakazi, TUCTA, TUGHE, CWT n.k wajitokeze wawaeleze wafanyakazi ambao ni wanachama wao nini kimejiri!
Lakini pia ikumbukwe mnamo Mei Mosi mwaka huu Arusha kwenye sherehe ya wawafanyakazi Makamu wa Rais ambayevalimuwakilisha Rais alisema mbele ya umma kuwa Rais angesema kitu kuhusu mishahara ya wafanyakazi, jambo ambalo imekuwa kimya.!