Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

Maajabu ya soka la Afrika: Guélor Kanga kukutana na kamati ya nidhau kuhusu sakata la umri wake

Mie nadhani inabidi mindset ya watu wa mpira ibadilike badala ya kuangalia umri wa mtu waangalie zaidi kipaji na uwezo.

Hii itapunguza sana tabia za udanganyifu wa umri na mambo mengine kama hayo. Wachezaji wengi wazuri wamewekwa kando kwa kigezo kidogo tu Cha umri kitu ambacho naona sio sawa
Naunga mkono
 
Hivi kwanini wanaongopa?
Only in Africa..
Mchawi tech' dada.

Age fraud sio suala la africa, ni universal issue. Sema sisi imekuwa common (pia kwa sasa inapungua) kwa sababu ya ugumu wa kuverify taarifa za uzazi. Wenzetu wazungu haya mambo wameyavuka kwa kuwa wameendelea kiteknolojia ya kuthibitisha umri, ukiacha electronic databases lakini MRI imesaidia sana kuumbua watu so huwezi danganya tena. So, sio kwamba wazungu ni wastaarabu sana bali teknolojia.
 
Yah...umeeleza vyema
 
Shirikisho la Soka Afrika, CAF, limeanzisha uchunguzi kuhusu umri wa mchezaji wa Gabon, Guelor Kanga ambaye alitangaza kuwa alizaliwa mwaka 1990 lakini ripoti inaonyesha tofauti katika madai yake ya umri.

Kanga alisema alizaliwa mwaka 1990 lakini imebainika kuwa mama yake mzazi alifariki mwaka 1985 na hivyo kutilia shaka madai yake ya umri na sasa anachunguzwa kwa madai ya udanganyifu.

Hii ndo Africa...... [emoji23][emoji23]
1704812526174.jpg
 
Back
Top Bottom