Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

Uchomaji wa tajiri kupata hizo waya wanachoma mtaani.
Kama shughuli hiyo Ikirasimishwa itawekewa utaratibu. Hata hivyo; inawezekana na inatakiwa kwa sasa wenye shughuli hiyo waelimishwe madhara yatokanayo na shughuli hiyo na Washauriwe au WATAKIWE kisheria wasogeze shughuli hiyo mbali na makazi ya watu. Mbona Vijiji/Mitaa wapo VEOs(SEO ?) na Viongozi wengine ni kuwakumbusha kutekeleza wajibu wao kwa Jamii wanayoiongoza na kusimamia Sheria husika zilizopo.
 
Hizi ndio fulsa sasa
 
Kiliuzwa siku nyingi nadhani
 
Mchakato wa kuchoma tajiri hizo mbovu Ili kupata waya ni mbaya sana Kwa mazingira,

Jambo hili Lina HASARA kuliko faida.

Lipifww marufuku Ili kulinda mazingira na AFYA za watu.
Ndio maana siku hizi linafanyika kwenye madampo ya uchafu tena kwa siri
 
Wengi ni hawa vijana barobaro na wanachomea huko kwenye madmpo ya uchafu
 
Wengi ni hawa vijana barobaro na wanachomea huko kwenye madmpo ya uchafu
Hawajawekewa Utaratibu bado. Inaonekana kwa sasa ni kila mtu anafanya kama aonavyo. Halafu ni kama cku hizi kada ya mabwana afya, Mazingira hazipo. Inakuwaje watu wanaenda kushinda majalalani na viongozi wapo wanatazama tuu?
 
Msimu wa kilino huu. Kibarua cha kulima heka 1 ni laki hapo unapewa pa kulala na posho ya chakula. Ndani ya siku 10 umeua heka kivivu.
Ifike mahala tusitetee wavivu.
Na huko ndokujipambania ninakokusemea
Tuko pamoja mkuu🤝
 
Kaushaaaaaaa
 
Hahaha. Hiv ww ulikuwa unam-under rate huyo jamaa kutokana na "yale mambo yake"?
Hapana, humu siwezi kum-underate yeyote, maana hatufamiani. Huwa tunachapana tu ukija na hoja za ovyo ovyo. Ila kadri unavyosoma hoja za mtu ndo unaanza kuelewa IQ yake. Kama mmoja kule Michezo.
 
Naanza kazi rasmi, huu ni utajiri wa bure tena bila kuhitaji kiungo cha binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…