Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Yap nilikuwa nahisi dalili zote za marelia.Maradhi yanaanzia akili ukidhani unaumwa utaumwa kweli
Tumekunywa maji ya mtoni lakini sikuwahi kusikia typhoid kijijini kwetu...
Akili nyingi sanaMaradhi yanaanzia akili ukidhani unaumwa utaumwa kweli
Tumekunywa maji ya mtoni lakini sikuwahi kusikia typhoid kijijini kwetu
Masai anakula nyama nyekundu tena mbichi lakini hana pressure
Watu kijijini hawanywi maji wanakunywa gongo wanafikia miaka 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana majukumu, hawawazi, hawana stress, hawateswi na mapenziIv wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera,
jana nilikuwa morogoro kule hosp. Ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa naendea 45yrs, nimestaajabu jana kumkuta hai na yupo bonge vilevile,..ebu wanasayansi uchwara kina Kiranga watuambie kuhusu ili, maana wanatukanya tusiseme nikaz ya Mungu
Huko makumbusho ni wapi? Inaonekana kuna takataka nyingi[emoji3][emoji3][emoji3]Vichaa wengine ni vijana wa Makumbusho
Ila na wewe akili zako zilishayumba, kwani hivyo unavyoviita najisi havitupwi jalalani?Mnakula najisi hamjishangai.
Hao wanakula vyakula mnawashangaa¿
[emoji419][emoji419][emoji419]Maradhi yanaanzia akili ukidhani unaumwa utaumwa kweli
Tumekunywa maji ya mtoni lakini sikuwahi kusikia typhoid kijijini kwetu
Masai anakula nyama nyekundu tena mbichi lakini hana pressure
Watu kijijini hawanywi maji wanakunywa gongo wanafikia miaka 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mi nishindwe kula kitimoto kisa vitabu vyenu vimeandikwa najisi!Mnakula najisi hamjishangai.
Hao wanakula vyakula mnawashangaa¿
Wewe ni dereva mkuu???Mshangao mwingine wanatembea barabara kuu badala ya waenda kwa miguu hawagongwi na magari
Miakili mingi sana...Akili nyingi sana
Yaaah ili ni neno an ww ndo umeongea sasa 🙌🙌😂😂😂😂😂😂😂Hawana majukumu, hawawazi, hawana stress, hawateswi na mapenzi
Sasa kwanini wasinenepe?