Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

kuna machizi hukuhuku dar wapo watatu mamá nawanae wawili mkubwa wakike mdogo wakiume.

sasa huyu mshikaji wakiume Ana kama miaka 25 hivi binti nae kama miaka 27 hivi

huyumshkaji anawapelekea moto hawa wenzie dada na mamá nikama mademu zake tuu popote walipo yupo anawalinda hataki kugongewa

wanalala kitanda kimoja wanapiga madili wote sehem ikiwa na msiba wanaenda kukaa hapo hapo nakusaidia shuhuli mbalimbali

watu wanasema walirogwa
Hii Imeniumiza na Kunisikitisha..
 
Kuwa mwendawazimu ukale majalalani alafu uone kama hutoumwa. Vitu mnavyoongea ni story za vijiweni. Huwa wanatibiwa, na wanaumwa vile vile tena hadi kutapika. Na wengine huwa wanapita tunawapa vyakula wale kabisa. Na maji. Nenda kinondoni biafra utaelewa.
 
Fact hii
 
Back
Top Bottom