Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Mambo Mengi ya Binadamu yapo set up in mind

Huyo kichaa once anaanza kula jalalani lazima Mwili uli-react na kuumwa ila siku zinavyozidi kwenda ile hali inapokelewa na Akili na Mwili na kukitafsiri chakula kichafu Kama kisafi

Then kuhusu hao vichaa wengi huwa wana life expectancy ndogo wengi hupoteza MAISHA kwa umri Mdogo .

Maana unaweza muona mtu mnene Kama unavyosema mtoa Mada lakini hakawa na Afya mbovu Sana , hivyo kusema vichaa hawaumwi nadhani sio Kweli Hawa watu huwa wanaumwa ikifika Muda wake na huwa wanakufa sema kwa idadi Yao ni ndogo na hakua anayewafatilia basi ni ngumu kulifahamu hili jambo.

Wakuu tujitahidi kuwa makini na Afya ya Akili hili tatizo linatesa na kuua ndoto zetu vijana kwa wazee , Kuna watu ukiwatazama kwa nje They are looking good ila upstairs has already shaken .
Asante kwa ushauri wako mzuri sana
DR HAYA LAND
 
Wapo wale wanaobeba mimba, hivi wanajifungulia hospital ama kitaani?, na huduma za clinic wanapataga wapi?

Yaani ukiwaza sanaa ..... utamu anauhisijee ...? na hawana hata simu useme wanampigi ama ku chart na mtuuu
Hapo kwenye utamu sijui umewaza nini...?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mnatupa wasi wasi
 
Mnakula najisi hamjishangai.

Hao wanakula vyakula mnawashangaaยฟ
Najisi ni nini? Kwa mujibu wa nani? Maana ngamia ni najisi kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya wakristo,lakini ni nyama takatifu kwa waislam.
 
Kweli sisi w waafrica ndo wagonjwa, ndo madaktari, ndo maabara na wafamasia.
Kumbe comedy za akina kanjibai mtanga ni za kweli!
Yap nilikuwa nahisi dalili zote za marelia
Nikaenda KUPIMA nikaambiwa sina marelia
Nikameza DAWA TATU. nikalala keshoyake nimeamka nikawa nimesahaukabisa kamanilikuwa na dalili za mareliabadi ikawa imeisha hiyo mpk now nadunda

Fact ni kuwa mwili wa kila binadamu unauwezo wa kujitibu wenyewe ni vile wewe utakavyoweza seti MIND yako basi na zile TEZI NEVA UBONGO zitareact vile wewe unavyohitaji
 
Maradhi yanaanzia akili ukidhani unaumwa utaumwa kweli
Tumekunywa maji ya mtoni lakini sikuwahi kusikia typhoid kijijini kwetu
Masai anakula nyama nyekundu tena mbichi lakini hana pressure
Watu kijijini hawanywi maji wanakunywa gongo wanafikia miaka 100

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliumwa UTI nikapona kwa maji na matunda mavidonge nikatupia huko.....kuna muda shetani anachezea akili zetu๐Ÿ˜–
 
Iv wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera,

jana nilikuwa morogoro kule hosp. Ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa naendea 45yrs, nimestaajabu jana kumkuta hai na yupo bonge vilevile,..ebu wanasayansi uchwara kina Kiranga watuambie kuhusu ili, maana wanatukanya tusiseme nikaz ya Mungu
Mkuu Kwan ndio kusema hujui kwamba kuwa na tatizo la afya ya akili ni Jumla ya kufikiri, kuwaza na kutenda jambo au mambo yanayo kuathiri, kudhuru na kukuumiza wewe mwenyewe?
Maumivu wanayoyapitia hawezi mwambia mtu, ispokua anayaskia yeye mwenyewe in a very positive way ndio maana hataki ustaarabu kwasababu ni negative kwake...
 
Niliumwa UTI nikapona kwa maji na matunda mavidonge nikatupia huko.....kuna muda shetani anachezea akili zetu๐Ÿ˜–
UTI uliyoipata ilikua ni underground au chipukizi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Iv wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera,

jana nilikuwa morogoro kule hosp. Ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa naendea 45yrs, nimestaajabu jana kumkuta hai na yupo bonge vilevile,..ebu wanasayansi uchwara kina Kiranga watuambie kuhusu ili, maana wanatukanya tusiseme nikaz ya Mungu
Kama hata hii sayansi ndogo ambayo hata mwanafunzi wa kidato cha pili anajibu ,inaonesha wewe ni wale mlioenda shule kusomea ujinga.
 
Iv wakuu, ni sayansi au ni kitu gani au wana kipi special wendawazimu na vichaa, kiasi kwamba wanakula vyakula vibovu majalalani, lakin kamwe hawaumwi typhod fever wala cholera,

jana nilikuwa morogoro kule hosp. Ya mkoa nikakutana na kichaa mmoja, yule kichaa tangu utoto wetu,mpaka sasa naendea 45yrs, nimestaajabu jana kumkuta hai na yupo bonge vilevile,..ebu wanasayansi uchwara kina Kiranga watuambie kuhusu ili, maana wanatukanya tusiseme nikaz ya Mungu
Adaptation.
 
Back
Top Bottom