Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Asante kwa ushauri wako mzuri sana
DR HAYA LAND
 
Wapo wale wanaobeba mimba, hivi wanajifungulia hospital ama kitaani?, na huduma za clinic wanapataga wapi?

Yaani ukiwaza sanaa ..... utamu anauhisijee ...? na hawana hata simu useme wanampigi ama ku chart na mtuuu
Hapo kwenye utamu sijui umewaza nini...?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mnatupa wasi wasi
 
Mnakula najisi hamjishangai.

Hao wanakula vyakula mnawashangaaΒΏ
Najisi ni nini? Kwa mujibu wa nani? Maana ngamia ni najisi kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya wakristo,lakini ni nyama takatifu kwa waislam.
 
Kweli sisi w waafrica ndo wagonjwa, ndo madaktari, ndo maabara na wafamasia.
Kumbe comedy za akina kanjibai mtanga ni za kweli!
 
Niliumwa UTI nikapona kwa maji na matunda mavidonge nikatupia huko.....kuna muda shetani anachezea akili zetuπŸ˜–
 
Mkuu Kwan ndio kusema hujui kwamba kuwa na tatizo la afya ya akili ni Jumla ya kufikiri, kuwaza na kutenda jambo au mambo yanayo kuathiri, kudhuru na kukuumiza wewe mwenyewe?
Maumivu wanayoyapitia hawezi mwambia mtu, ispokua anayaskia yeye mwenyewe in a very positive way ndio maana hataki ustaarabu kwasababu ni negative kwake...
 
Niliumwa UTI nikapona kwa maji na matunda mavidonge nikatupia huko.....kuna muda shetani anachezea akili zetuπŸ˜–
UTI uliyoipata ilikua ni underground au chipukizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama hata hii sayansi ndogo ambayo hata mwanafunzi wa kidato cha pili anajibu ,inaonesha wewe ni wale mlioenda shule kusomea ujinga.
 
Adaptation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…