Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Hii Imeniumiza na Kunisikitisha..
 
Kuwa mwendawazimu ukale majalalani alafu uone kama hutoumwa. Vitu mnavyoongea ni story za vijiweni. Huwa wanatibiwa, na wanaumwa vile vile tena hadi kutapika. Na wengine huwa wanapita tunawapa vyakula wale kabisa. Na maji. Nenda kinondoni biafra utaelewa.
 
Nilipima kwa Mara ya kwanza nikaambiwa nina UTI ....nikatupa vidonge😏
Ndo nakuambia sasa UTI ya watoto wa chuo unaijua weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ chuo cha dasalamu
 
Fact hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…