Maajabu ya vichaa: Wanakula vichafu lakini hawaumwi

Kiranga
 
Sijui mkuu,tufumbue macho tuzijue...
Ahahahah moja wapo ni kuzingatia mlo kamili....
Hivyo unavosema wana immunity kubwa kwa zile factor nyingi za immunity inakua ngumu kwa chizi kuwa na hiyo immunity kubwa mkuu
 
ugonjwa unaanzia kwenye wasiwasi,kama ukila chakula ukiwa na wasiwasi lazima uharishe,kichaa hana wasisiawsi!
 
Usipokuwa na hofu ndio utakufa mapema zaidi kwa sababu utakuwa huchukui tahadhari yoyote kwenye jambo lolote
 
Tena mkuu hawa zeeki kwa kasi.
 
Huyo kichaa sasa hivi atakuwa na miaka 80?

Huo ubonge na huo UMRI si.mchezo
 
Exactly, kichaa hawazi kwamba nikila uchafu nitaumwa tumbo lakini timamu yeye anauwaza ugonjwa na anautengea mpaka budget! Sasa kwanini ugonjwa usije wakati unasubiriwa kwa hamu?
 
Kama Kiranga katembelea huu Uzi ngoja nijifanye sioniπŸ€”
Hawa Watanzania wengi wanaoandika hapa JF wenyewe wana vichaa pia, bado havijaaguliwa tu. Tanzania watu kusema una kichaa mpaka uokote makopo na kula majalalani.

Sasa kichaa mmoja atajua vipi kwamba kichaa mwingine anaumwa au haumwi?

Watanzania kwenye general population tu wanaishi na magonjwa kibao bila kujijua, kwa sababu hawafanyi regular checkups.

Sasa kama hawa ambao hawaokoti makopo wanaumwa bila kujijua, kwa sababu hawafanyi checkups, hao tunaowaita vichaa tutajua vipi kwamba hawaumwi?

Au mnataka mpaka mtu adondoke mtaani ndiyo mjue anaumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…