Kwahiyo ukila chakula kilichochocha bila wasiwasi huumwi!!!
kweli hauumwi,,,angalia kichaa anaingia jalalani anachukua chakula kilichooza kabisa wakati mwingine kina mchanganyiko wa kinyesi lakini haumwi!!!!!,,,,lini uliona kichaa amelazwa hospitali kwa ajili ya malaria,UTI,,,,,shirika lafya duniani lilikiri kipindi cha corona ktk jiji la SAO PAULO -BRAZIL,,,pamoja na vichaa kutokaa lockdown,,lakini unaambiwa hamna ata mmoja aliyepelekwa hospital kwa tatizo la upumuaji,,,wala kufa,,,,sio huko tu,,,,wewe mwenywe angalia mazingira unayoishi,,,ulishawai hudhuria msiba wa kichaa kisa maraddhi???'''sanasana ni ajali za gari au vifo vya kiasili tu!!