Anaweza kuachiwa baada ya uchaguzi!
Mithali 34:14ALERT 🚨: Maalim Seif Akamatwa
Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo, Maalim @SeifSharifHamad amekamatwa muda huu na Vyombo vya Dola wakati akiwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Garagara. Taarifa zaidi zitawajia
#ZanzibarLivesMatter
Hello sweetie..Mnajikamatisha
Tatizo ni sisi wananchi.... elimu au kujifanya au ilimradi umechangiaSafi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?