Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Mimi naona kama vile hata polisi wanampasha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.
Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Anakamatwa kwa sababu gani?
 
Ikiwezekana asiachiwe mpaka uchaguzi upite, ataendaje kupiga kura leo hao ndo wanafanya vurugu kwa makusudi ili kelele ziende kwa polisi, aache ujinga

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Alishababu mpo wapi karibuni mtu hufa mara moja hakuna faida ya kuishi Zanzibar sasa ni jihadi kwenda mbele
 
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
Innalillah wainna ilayhir rajiun.
 
Asante vyombo usalama promo Maalimu.
 
ccm hamtakiwi bara na visiwani tuachieni nchi yetu, nyie wakoloni weusi mnaolazimisha kutawala kwa kutumia majeshi ya ccm.
Jomba wewe ni chama gani Sasa, huwezi kusema muachiwe nchi wakati hamna hata address..nyie Ni Nani..cuf, tadea,nccr, chadema,act, nld, demokrasia makini..etc.jitambulishe kwanza..halaf tueleze tukuachie vipi kwa style ipi..Kama unadhani nchi inagawiwa Kama mayai dukani
 
Back
Top Bottom