Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Hili jitu la hovyo la chato linachokitafuta litakipata.
 
Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.
Kwani kundi maalumu ni wakina nani?
 
Kwann Zanzibar kura zipigwe siku mbili tofauti na bara sikumoja ukizingatia Zanzibar ni eneo dogo Kama mkoa.
 
Kufa kwa Wazanzibar awataanza kufa leo
Wameshakufa sana na wengine vilema mbaka leo
Seif hata kovu hana
Na maisha yanaendelea
Vihele hele katika siasa uwa wa kwanza kutangulia kaburini seif anakuja kukaa mezani na dr Mwinyi anapewa umakamu wa rais maisha yanaendelea
Karai ushatangulia kaburini seif umemuacha uswahilini anakula bata
 
Acha kujifanya chizi, Zanzibar ina wapiga kura takribani laki tano halafu wapige kura siku mbili while bara wapigakura 29 ml. kura ipigwe siku moja inaingiaje akilini?
Hii dunia haina siri, kinachotendeka sirini Zanzibar tunafahamishwa na vijana walioko huko. Wengine ni ndugu zetu na marafiki zetu
 
Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.

Laana aliyoipata salmin anatamani kufa lakini kifo kinamkimbia.
 
Back
Top Bottom