Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

"Baada ya kuachiwa na Makachero wa Magufuli Maalim asema Hakuna kurusha nyuma ni JINO kwa JINO"
 
Hivi kumbe Zanzibar upigaji kura ulikuwa Jana🤔
 
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine.

Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia. Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu, tega sikio
Kinacholeta amani si kingine bali ni HAKI,HAKI,HAKI...
 
Wake mbona wengi jomba, tumeruhusiwa wanna..ukimchukua na Mimi nachukua wengine wawili..wapo wengi wanasubiri kupata huduma
Nije nikukabe nichukue kilichomo mfukoni kwako halafu wewe sema hewala
 
Unavyosikia uchungu ndio hivyo Maalim Seif amesema sasa basi ni JINO kwa JINO
Mpelekeni mzee wa watu akalee wajukuu..miaka yote 70 alikuwa wapi..hahahah anakumbuka shuka wakati kumekucha..
 
Mpelekeni mzee wa watu akalee wajukuu..miaka yote 70 alikuwa wapi..hahahah anakumbuka shuka wakati kumekucha..
Sikiliza Mkuu tuache ushabiki usiokuwa na tija tuchagueni watu wenye kiu ya HAKI
 
Sikiliza Mkuu tuache ushabiki usiokuwa na tija tuchagueni watu wenye kiu ya HAKI
Haki ya kufanya Nini..jomba.au Haki ya kufanya biashara bila kulipa Kodi .Haki ipi unayozungumzia..acheni Mambo ya ku copy na paste..mnamezeshwa maneno nanyinyi mnameza tu..Haki ya Nini hiyo muwe mnatufafanulia
 
HAKI ya kuacha Ujecha
 
Mmeishiwa pumzi..kweli sasa naamini nyie Ni manyumbu. Hiyo Haki yako kwanini usiichukue
UBABE hupita njia ya mkato lakini HAKI kutumia njia ndefu lakini ikishafika UBABE hutoweka Kumbuka haya maandishi
 
UBABE hupita njia ya mkato lakini HAKI kutumia njia ndefu lakini ikishafika UBABE hutoweka Kumbuka haya maandishi
Kwenda kule..unaleta idea za mwaka 1961..wakati tulipokuwa tukitafuta Uhuru..jomba sisi tupo uchumi wa kati tumeshashika njia tunaelekea matawi ya juuu..Sasa hivi tunaangalia uchumi wa viwanda..jombaa
 
Tuombe UHAI.
 
Back
Top Bottom