Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.
Kabisa
 
Tii sheria bila shuruti, Tuliwaonya wenzio 2015 wakajifanya wajuaji wamerudi mtaani km vichaa

Tunyajua wewe umedanganywa kupewa sehemu ya urithi wa migodi ya Mkapa aliyojiuzia upo humu kujamba jamba tu
 
chagua magufuli mkuu mitano tena
Ndugu yangu acha utani mambo yakiharibika usifikiri utakua salama sote tutaingia kwenye matatizo, huyu malaika mkuu ndiye chanzo cha matatizo.
 
mchague mwinyi mkuu kwa maendeleo ya zanzibar alafu maalim anaumwa hawezi kutawala

Mwinyi anaweza kutuongoza, ila kwa sababu ni sisiemu anaweza asifanye makubwa kwa sababu ya Ugolo uliomo kwenye bongo ya baadhi viongozi wenza
 
Ndugu yangu acha utani mambo yakiharibika usifikiri utakua salama sote tutaingia kwenye matatizo, huyu malaika mkuu ndiye chanzo cha matatizo.
chanzo ni maalim we fikiria jana hata kura hazijaanza kupigwa yeye kaitisha maandamano
 
Usimpangie siku kwani wengine wana haki ipi yeye aikose?
Duuuh...kweli akili zako mandazi.

Wewe serikali ya zanzibar imesema watakaopiga kura tar 27 ni wasimamizi wa uchaguzi na maafisa wa polisi tu, sasa maalim seif yeye yupo kundi gani hapo unaposema nisimpangie, kwani huo utaratibu umepangwa na mimi au na ZEC.

Pinga kitu kwa fact kwa fact siyo unaropoka tu.
 
It was a two hour detention kaachiliwa baada ya Marekani kukemea detention.
Hapana mkuu. Maalim aliachiwa hata kabla Balozi hajaandika mtandaoni. Si kuwa aliachiwa bali anaendelewa kuwekwa chini ya ulinzi kwa maana kuwa hayupo huru
 
Update ni kuwa Maalim Seif ameachiwa huru dakika kama 10 zilizopita.

Sasa hii ni rasmi kuwa kaachiwa MdogoWenu
 
Sasa yametimia
Eti huyu naye mtoto wa kimakonde, anatafuta Mustakbali wa Zanzibar -Kibaraka
Kama Alivyo mwinyi ,Mzalamu wa Kisarawe na yeye anadai Zanzibar ni yake. Kama Alivyo Ali muhammed Shein Mmatumbi wa Kisiju naye anajidai ni Mpemba na Zanzibar ni yake.

Kama ALivyo Seif Ali Iddi Mtu wa Kongo na ye anadai Zanzibar ni Kwao na anatetea maslahi ya Zanzibar. Mbona Nahodha Mtu wa Makunduchi wamemtosa?

Mbona wale wengine 2 wenye asili ya Zanzibar Safi kabisa Hawakuteeuliwa kwenye kura za Uraisi wametoswa? Wazanzibar wote ndani ya CCM hawakumchagua Mwinyi,bali walichagua Ndugu ya Mzanzibari mwana Kindaki ndaki.

Ndo maana Tunapigwa Mabomu ili KIBARAKA WA TANGANYIKA ASIMIKWE MADARAKANI
 
Soon watakiona cha mtema kuni hao wahuni wa CCM! Mnalazimisha huyo papasi wenu mwinyi asiyependwa, mwaka huu mtajua hamjui wahuni ninyi!
ACT Wazalendo said its presidential candidate was detained trying to cast his vote as polling stations opened a day early to allow officials from the Zanzibar Electoral Commission, returning officers and security personnel to take part (BBC).
Leo ilikuwa zamu yake kweli kupiga kura?
 
Back
Top Bottom