Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kwa hiyo uchaguzi unaondelea leo hakuna mawakala WA vyama?.
Wamekataliwa kuingia na ndio wengine wakapigwa risasi
Viongoz wa CHAUMMA Tupo mazikoni kwa wakala wetu aliyepigwa risasi Jana Usiku majira ya saa 6 usiku katika kituo cha kupiga kura skuli ya vitongoji Jimbo la wawi.
Wakala wetu wa CHAUMMA aliyeuawa anaitwa Muhammad khalfan Mjaka.
Maziko ni baada ya sala ya alasir Leo tarehe 27 /10/2020.
INALILAH WAINA ILAIHI RAJOIUN.
ALI OMAR JUMA
MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR -CHAUMMA
KATIBU MKUU - CHAUMMA
+255 772 674 080