Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

"Vijana nyinyi ndio wenye nchi hii msitumiwe na wanasiasa kuleta uvunjifu wa amani, kwa mfano jana usiku Zanzibar kule Pemba, kuna vijana wakati tunasambaza masanduku ya kupigia kura, wameanza kufanya fujo,kutupa mawe...hao baadhi ya vijana wamekamatwa ".#IGP_Sirro.


Mwanasiasa gani na nchi imetawaliwa na WAtanganyika tokea ilipovamiwa 1964 na tunaona mali za wazee wetu zizilivyochukuliwa ngawira ??

Mwaka huu tukose sote au muondoke hatutaki lugha yoyote
 
Kwa mujibu wa ZEC: ni baadhi ya maafisa wa Tume ya Uchaguzi, maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama na watu wenye ulemavu

Hao watu walitakiwa majina yao yawekwe vituoni pamoja na picha zao , na pia mawakala wasimamie huu upigaji kura . Baada ya upinzani kugundua figisufigisu zao , Tume ya CCM iliyabandua majina yote haraka sana na hakuna wakala yoyote aliyepewa kibali cha kuwemo vituoni.
 
Raiya wote wanapiga kura kesho, leo nikwaajili ya watumishi watakao simamia uchaguzi kesho na yeye ana lijua hilo.

Ameenda leo makusuditu ili kupata tension.

Sheria za uchaguzi hazikufuatwa, hizo zinazoruhusu upigaji huo .
 
Tume ya CCM iliyabandua majina yote haraka sana na hakuna wakala yoyote aliyepewa kibali cha kuwemo vituoni.
Hii ni fact au tetesi?

Mwaka huu Zanzibar kutachimbika. Seif Sharif Hamad hana cha kupoteza maana anajua hii ndio chance yake ya mwisho kuukwaa Urais.
 
Hapa mdo napomuelewaga magufuli...anatumia akili vizuri sana kudeal na wanaojifanya wanaweza kuwa juu yake...na mtashangaa zanzibar uchaguzi utaenda kwa amani na ccm itashinda kwa kishindo...
baada ya damu kumwagika na wapemba kukimbilia Shimoni
 
Kwani unajua chanzo chake...inasikitisha Nani Sasa...unajuaje labda Seif kamtemea mate usoni askari bila sababu..etc

Lete ushahidi wa hiyo taarifa yako mkuu.! Honestly speaking CCM mnafeli sana kwenye uwanja wa siasa. Too much force and arrogance will cost our nation.
Nyie miaka mitano yote mmejinadi kwenye majukwaa bila mtu kuwaingilia lakini kimefika kipindi cha Uchaguzi hamtaki tena wenzenu wapige kampeni, kila siku visa vya ajabu ajabu kwanini!? Hebu fanyeni siasa safi na kila mmoja atakipenda chama na ushindi mtakuwa mnashindi kiulaini bila kumwaga damu za watu. Kinashindikana nini, Mheshimiwa Jiwe amefanya kazi nzuri ambayo kwa asilimia kadhaa imeirudisha CCM kwenye mioyo ya watu. CCM mnamengi ya kuwambia watu kuwa mmeyafanya ila mambo ya kutumia dola kuwagandamiza raia au wanasaisa wenzenu haileti picha nzuri kama taifa.
Mungu ibariki Tanzania.!
 
Hao watu walitakiwa majina yao yawekwe vituoni pamoja na picha zao , na pia mawakala wasimamie huu upigaji kura . Baada ya upinzani kugundua figisufigisu zao , Tume ya CCM iliyabandua majina yote haraka sana na hakuna wakala yoyote aliyepewa kibali cha kuwemo vituoni.
Kwa hiyo uchaguzi unaondelea leo hakuna mawakala WA vyama?.
 
Jomba wewe ni chama gani Sasa, huwezi kusema muachiwe nchi wakati hamna hata address..nyie Ni Nani..cuf, tadea,nccr, chadema,act, nld, demokrasia makini..etc.jitambulishe kwanza..halaf tueleze tukuachie vipi kwa style ipi..Kama unadhani nchi inagawiwa Kama mayai dukani
Kwahiyo nchi inagawiwa kwa gharama ya kumwaga damu au?
 
ALERT 🚨: Maalim Seif Akamatwa

Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo, Maalim @SeifSharifHamad amekamatwa muda huu na Vyombo vya Dola wakati akiwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Garagara. Taarifa zaidi zitawajia


#ZanzibarLivesMatter
atakua kajiteka kama mazrui juzi
 
Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema

Uyatafakari maneno haya ijumaa

Kwahiyo wapinzani wangesimamisha Mgombea urais yupi ambaye unahisi angeshinda ??
Mh. Jiwe alikuwa na uhakika wa kupata kura za ushindi tena mkubwa lakini kwa kitendo cha Viongozi wa ccm na uvccm walioharibikiwa mmeharibia mzee wa watu picha. Mie ni ccm ila nashindwaga kuelewa kwanini inashindikanaga kufanya siasa bila kuvunja miguu ya watu ???? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom