Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Umesahau mtu kubeba vitu atakavyoweza kutumia kujilinda pale atakaposhambuliwa bila sababu za msingi
hivyo akili mtu kichwani mwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau mtu kubeba vitu atakavyoweza kutumia kujilinda pale atakaposhambuliwa bila sababu za msingi
"Vijana nyinyi ndio wenye nchi hii msitumiwe na wanasiasa kuleta uvunjifu wa amani, kwa mfano jana usiku Zanzibar kule Pemba, kuna vijana wakati tunasambaza masanduku ya kupigia kura, wameanza kufanya fujo,kutupa mawe...hao baadhi ya vijana wamekamatwa ".#IGP_Sirro.
The million dollar question mkuu.Harafu kundi maalumu why uchaguzi huu tu. ?Kimkoa chenyewe kina watu 500,000 or so[emoji1]
Kwa mujibu wa ZEC: ni baadhi ya maafisa wa Tume ya Uchaguzi, maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama na watu wenye ulemavu
Raiya wote wanapiga kura kesho, leo nikwaajili ya watumishi watakao simamia uchaguzi kesho na yeye ana lijua hilo.
Ameenda leo makusuditu ili kupata tension.
Hii ni fact au tetesi?Tume ya CCM iliyabandua majina yote haraka sana na hakuna wakala yoyote aliyepewa kibali cha kuwemo vituoni.
baada ya damu kumwagika na wapemba kukimbilia ShimoniHapa mdo napomuelewaga magufuli...anatumia akili vizuri sana kudeal na wanaojifanya wanaweza kuwa juu yake...na mtashangaa zanzibar uchaguzi utaenda kwa amani na ccm itashinda kwa kishindo...
Chadema ni watu wa vurugu na uongo
Sio kweli..! Mboga mboga mnafujo sana
Kwani unajua chanzo chake...inasikitisha Nani Sasa...unajuaje labda Seif kamtemea mate usoni askari bila sababu..etc
Kwa hiyo uchaguzi unaondelea leo hakuna mawakala WA vyama?.Hao watu walitakiwa majina yao yawekwe vituoni pamoja na picha zao , na pia mawakala wasimamie huu upigaji kura . Baada ya upinzani kugundua figisufigisu zao , Tume ya CCM iliyabandua majina yote haraka sana na hakuna wakala yoyote aliyepewa kibali cha kuwemo vituoni.
No Chadema hawafai kuwepo Tanzania watatuharibia Nchi
Soma reply #280 alfu unieleze nini kinashindikana.!
Kwahiyo nchi inagawiwa kwa gharama ya kumwaga damu au?Jomba wewe ni chama gani Sasa, huwezi kusema muachiwe nchi wakati hamna hata address..nyie Ni Nani..cuf, tadea,nccr, chadema,act, nld, demokrasia makini..etc.jitambulishe kwanza..halaf tueleze tukuachie vipi kwa style ipi..Kama unadhani nchi inagawiwa Kama mayai dukani
atakua kajiteka kama mazrui juziALERT 🚨: Maalim Seif Akamatwa
Mgombea Urais wa @ACTZanzibar, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa @ACTwazalendo, Maalim @SeifSharifHamad amekamatwa muda huu na Vyombo vya Dola wakati akiwa katika Kituo cha Kupigia Kura cha Garagara. Taarifa zaidi zitawajia
#ZanzibarLivesMatter
maalim kalala nyumba ndogo huko mnasema kakamatwa na polisi kwani zanzibar hakuna michepukoKaenda kwa sababu kuna maccm yapo vituoni kupiga kura leo asubuhi
Chadema watajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema
Uyatafakari maneno haya ijumaa