Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Kufa kwa Wazanzibar awataanza kufa leo
Wameshakufa sana na wengine vilema mbaka leo
Seif hata kovu hana
Na maisha yanaendelea
Vihele hele katika siasa uwa wa kwanza kutangulia kaburini seif anakuja kukaa mezani na dr Mwinyi anapewa umakamu wa rais maisha yanaendelea
Karai ushatangulia kaburini seif umemuacha uswahilini anakula bata
HAMNA MTU ANAYEWEZA KUZUIA HAKI YANGU YA KUFA-Rais Jumbe(Zanzibar).
 
Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.

Why vyombo vya ulinzi kuingilia ugomvi wa wanasiasa kwann wasiwe Kama Malawi huwezi kuta vinaegemea chama fulani
 
Kisa ni nini kuwe na siku mbili tofauti ya kupiga kura na makundi tofauti? Kuna ulazima wa kufanya hivyo? Je, walishirikisha? Hata kama tume si huru bado inahitajika kutumia busara!
 
Hawa ccm huu mwaka hawatausahau maisha yao yote.

Tunawatoa kwa nguvu.
 
Zanzibar kuna kura mbili

Kura za viongozi wa Serkali ya mapinduzi
Na kura za Rais Magufuli na wawakilishi
Kwann Zanzibar kura zipigwe siku mbili tofauti na bara sikumoja ukizingatia Zanzibar ni eneo dogo Kama mkoa.
 
Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?

Kwani hujajuwa kama leo na kesho kwa upande wa Zanzibar wewe uko nchi gani bwana Zanzibar leo kura za awali kama wanavofanya marekani
 
Kwa nini akamatwe kutimiza haki yake ya kiraia kupiga kura ndo akamatwe?

Haieleweki tatizo nini yeye kupiga kura si wangemwambia na Hussein Mwinyi akapige kura leo kama anataka shida nini
 
Back
Top Bottom