kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 628
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine.
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia. Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu, tega sikio