hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Hivi Zanzibar wanachagua leo au kesho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua siku ya kupiga kura au unaropoka tuu?Kwa nini akamatwe kutimiza haki yake ya kiraia kupiga kura ndo akamatwe?
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
Mbali yakuweka Wakala wake kwenye kituo cha kupigia kura, Mgombea anaruhusiwa kutembelea vituo hivyo na kupiga kura kwenye kituo chochote kati ya hivyo. Wala hakuna kosa alilofanya Maalim.Safi... Kupiga kura ni kesho, yeye anaenda leo kama nani?
Maalim seif Ni chadema?Chadema ni watu wa vurugu na uongo
Kwani sisi tunawataka , toeni na nyie watu wenu hakuna kubembelezana.CCM hamtakiwi bara na visiwani tuachieni nchi yetu, nyie wakoloni weusi mnaolazimisha kutawala kwa kutumia majeshi ya ccm.
Wewe kampigie kura unayemtaka, kwani Nani ataona kura yako ni Siri yako.Serikali ya CCM mbona inatulazimisha kuipenda kilazima?.
Maalim Seif atakuwa rais wa Nini?Mwinyi atakuwa Rais wa jwtzcc Polisiccm magerezaccm Uhamiajiccm NECCCM Tumeccm Msajiliccm siyo Rais wa wazanzibar
Pumbavu wewe kwani Maalim Seif ni mwanamke Hadi aende Kama mama yako?Kama mama yako!
Mazingira ya kuiba kura na uchakachuajiKwann Zanzibar kura zipigwe siku mbili tofauti na bara sikumoja ukizingatia Zanzibar ni eneo dogo Kama mkoa.
CCM wakorofi sana hasa yule kaburu Mkoloni mweusi.Maalim ni mkorofi sana yule babu.
Kutengeneza mazingira ya uchakachuaji na wizi wa kura.Hivi Zanzibar Kwanini wanapiga kura siku mbili ilihali wao Ni wachache kuliko Bara?
Sio kwa Zanzibar. Zanzibar kura zinafahamika hata kabla ya kupigwa; huko hawachaguagi sera au vyama isipokuwa wanachagua upemba na uunguja basi.Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.
Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Usimpangie siku kwani wengine wana haki ipi yeye aikose?Kwani yeye si anatakiwa kupiga kura kesho sasa leo ni kihere here gani kimempeleka
Sasa mwinyi ni mzaliwa wa Rufiji mkoani Lindi vipi hapo kwenye upemba na unguja imekaaje?Sio kwa Zanzibar. Zanzibar kura zinafahamika hata kabla ya kupigwa; huko hawachaguagi sera au vyama isipokuwa wanachagua upemba na uunguja basi.