Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Duniani kote wamejua Tanganyika ni Mkoloni wa Zanzibar ndiyo maana wamechukua Raia Lindi Rufiji kwenda kumzawadia Urais Zanzibar kienyeji pasipo ridhaa ya wapiga kura wenyewe
 
Mabeberu ccm na tanganyika wnaikalia Zanzibar kwa mabavu
 
Mimi naona kama vile hata polisi wanampaisha Maalim,wataacha watu wakapige kura za hasira na huruma.

Ninadhani hatayeye alijuatu kama atakamatwa hivyo kwake nikama kete ya ushindi
Sasa wewe unataka Seif aachiwe tu avunje sheria? Anaenda kituoni eti kupiga kura leo! Unataka vyombo vya dola vimwache akapige kura? Yeye ni nani? Anajua hawezi kushinda ndiyo maana anataka kutokee vurugu. Amani italindwa kwa gharama zote.
 
Yeye kama mgpmbea je haruhusiwi kutembelea zoezi na upigaji kura aone kama haki inatendeka?
Haruhusiwi ndio, Sasa Mawakala wa Nini ?

Mimi upande wa Zanzibar Simuungi Mwinyi Mkono
Zaidi zaidi Muungano ufe tuu ndio Jambo la Msingi lililobaki
Zanzibar tuwaachie kisiwa chao

MUUNGANO UWE HISTORY
 
hata wazanzibar wote wapigie kura upinzani bado atatangazwa Mwinyi kashinda
Lengo ni kwamba mgombea wa upinzani ataki muungano ccm awawezi kumpa urais Maalim Seif Zanzibar labda kama angegombea mtu mwingine
Na kama wameamua kukinukisha ndio itakuwa rasmi zanzibar ni mkoa wa Tanganyika kuwanzia uchaguzi huu
Na kama uliona jana wajeshi wanawapa kichapo raia
Ndio rasmi sasa Zanzibar itarudi Tanganyika kinguvu ,, tega sikio
Unajidanganya.!
 
Hapa mdo napomuelewaga magufuli...anatumia akili vizuri sana kudeal na wanaojifanya wanaweza kuwa juu yake...na mtashangaa zanzibar uchaguzi utaenda kwa amani na ccm itashinda kwa kishindo...
 
Haruhusiwi ndio, Sasa Mawakala wa Nini ?

Mimi upande wa Zanzibar Simuungi Mwinyi Mkono
Zaidi zaidi Muungano ufe tuu ndio Jambo la Msingi lililobaki
Zanzibar tuwaachie kisiwa chao

MUUNGANO UWE HISTORY
Haujui kuwa mgombea ndiye wakalaa mkuu kuliko wote?
 
Mithali 34:14
Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote

Pia imenenwa kuwa AMANI NI ZAO LA HAKI

Tunapaswa kama Taifa tujiulize je HAKI tunaitenda wakati tunahimiza tudumishe AMANI?
Hebu tuwe wakweli kidogo, siku ya kupiga kura kwa wananchi wote ni kesho, leo ni kwa wale wenye kazi maalumu tu. Sasa Maalim Seif anakwenda kwenye kituo kufanya nini??
Hii ni kuichokoza serikali kwa makusidi ili ukikamatwa uanze kulalamika kuwa hautendewi haki
 
Mwinyi atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani na atakuwa ni Rais wa jwtzccm Polisiccm Uhamiajiccm magerezaccm Msajiliccm wakurugenziccm siyo Rais wa wazanzibar
Angalia watu kama wewe mlio bado na utumwa wa wakoloni. Hivi katia ya sefu na mwinyi nani mzanzibari halisi?? Mimi nakwambia wote ni wazanzibari halisi. Huu ubaguzi wako umechagizwa na propaganda za wazungu ili watugawe maana hivyo ndiyo wanaweza kupora rasilimali zetu. Amka mjomba sisi wote ni waafrika tusibaguane kwa maslahi ya wakoloni. Kama Mjaluo, Obama, anaweza kuwa rais wa Amerika iweje Mwinyi ambaye ni mzaliwa wa Zanzibar asiwe?
 
Tarehe 27 Oct 2020 saa4 asubuhi

Mpaka muda huu ninavoandika ujumbe huu

Zanzibar ni milio ya mabomu tuu kila upande, tokea yalipoanza Jana usiku na kusababisha vifo vya watu kadhaa na wengine kujeruhiwa.


WATAWALA WAJUE, DAMU INAYOMWAGIKA HAITOENDA BURE


#ZanzibarLivesMatter
 
Back
Top Bottom