Afrika_Bora
Member
- Oct 20, 2020
- 77
- 159
Hebu tuwe wakweli kidogo, siku ya kupiga kura kwa wananchi wote ni kesho, leo ni kwa wale wenye kazi maalumu tu. Sasa Maalim Seif anakwenda kwenye kituo kufanya nini??
Hii ni kuichokoza serikali kwa makusidi ili ukikamatwa uanze kulalamika kuwa hautendewi haki
Nawewe Jaribu kuwa na akili kidogo japo za kuazima.
Hivi Tanzania bara hakuna watu wa kazi maalumu? Kazi maalumu iyo ni ipi unayoizungumza ambayo Bara haipo ?
TUMIA AKILI JAPO KIDOGO.. WACHA UPUMBAVU MZEE