Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

Hivi na yeye yupo kwenye lile kundi maalum linalopaswa kupiga kura leo?

Mambo ya Zanzibar ni shida. Mwaka huu damu nyingi zaidi inaweza kumwagika kuliko kipindi kile cha Salmin Amour. Kila mtu anapaswa kutimiza wajibu wake.
Unajua kwamba kuna kura kibao ccm walizipiga usiku kwanini iwe hivyo ccm wanachokitafuta watakipata.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Bbc Africa wanadai Ccm ni chama kilichokaa madarakani miaka mingi Africa kuliko chama chochote cha siasa,haya ndo madhara yake,tuikatae kwenye sanduku la kura,mkoloni mweusi
Duniani kote hawaitaki CCM kwani imedumaza maendeleo Tanzania yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa zote za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo
 
Ila CCM kuna message wameipata uchaguzi huu hata wasipokiri
Wamegundua kuwa kuwatesa watu manyanyaso uonevu kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani vimewagharimu sana Safari hii
 
Kama miaka yote wanafanya makosa iweje mwaka huu wasifanye makosa?
Mwaka 2020 upo kivingine wazanzibar wana mwamko zaidi hasa baada ya CCM kuwapelekea mtu tokea Lindi Rufiji Tanganyika akawe Gavana Zanzibar kwa njia haramu na za kishetani
 
Kwani sisi tunawataka , toeni na nyie watu wenu hakuna kubembelezana.
Majeshi ndio suruhu ya kututawala badala ya ridhaa yetu wananchi tulio wengi. Mmeshakosa kibali cha kutawala tuachieni nchi yetu.
 
hapo zamani za kale mtaji wa ccm ni wananchi wajinga, ila wajinga karne hii hawapo, sasa wanawatumia polisi
nawaambia polisi msitumike kufanya uovu wa ccm, kuna watu the hague inawasubiri
 
Back
Top Bottom